Lowassa azizima Mikumi, Prof Jay Ubunge tayari

Lowassa azizima Mikumi, Prof Jay Ubunge tayari

Nakuambia hivi NKya hashindi nakwambia au ile kata 1 kati ya kata ishirini inampa kiburi mtakuwa mmepagawa mapepo nyinyi jimbo la mikumi ccm hamna chenu kata zote za ukawa nyie mnakata moja tu alafu mnaota ndoto za mchana hapa eti mtashinda

Tusipigizane kelele.Tusubiri Jumapili.
 
Nimechoka kukaa kimya
 

Attachments

  • 1445616907645.jpg
    1445616907645.jpg
    38.4 KB · Views: 405
ifakara leo
 

Attachments

  • 1445617017974.jpg
    1445617017974.jpg
    50.6 KB · Views: 357
Huku Nkya tu kwa Mikumi!Endelea kudanganya wanywa viroba wenzio wa Chaggadema hapa JF!WATU WAMEENDA KUMSHANGAA "MSAGA SUMU"TU HATA MIMI NILIKUWEPO NA KAMA ANAJIAMINI AACHE KUTEMBEA NA MSAGA SUMU WA VIGODORO.

We mbururaa kwel je nyie ambao huwa mnajaza container la wasanii tusemeje "badilika ww kilaza toroka uje utachelewa..."
 
leo ifakara
 

Attachments

  • 1445617124776.jpg
    1445617124776.jpg
    101.7 KB · Views: 307
Alipo tupo,

Statement alizojibu BBC zilionyesha quality ya presida tunaemtaka.
 
Inavyoonekana chama tawala kimeamua kutengeneza mazingira ya kupoteza imani na wananchi kwa kuona kwamba wanahitaji mabadiliko na wao wameshindwa kuwapa watanzania sasa wanatumia njia za matisho na kejeli na kujitoa ufahamu hata kwa wale wenye weledi wa sheria alimradi wapate fursa ya kutenda mambo yao ya kishenzi ambayo wameyatenda tangu kuanzishwa kwa vyama vingi nchini - udikteta.

Kulinda kura ni haki ya msingi ya raia kama ilivyo kujilinda wenyewe kwa kuwa hata dola zinatenda kusaidia chama tawala - aibu sana.

Sasa mimi pengine ningekuwa na wazo wananchi tuzuie access kwa watu wasiohusika kwenda eneo la kupiga kura ama kupeleka maboksi, ama hot pots, ama mabegi ya fedha, ama kupitisha gari lenye maboksi, ama mtu yeyote tutakayemtilia shaka na ikiwa lile siyo eneo lake la uchaguzi asipewe fursa kwenda eneo la kupiga kura kwa njia yeyote ile hadi matokeo yatoke.

Hii ni haki ya msingi na acha wao chama tawala waongelee kuhusu mita mia mbili (200), sisi tutaongelea kuhusu access ya majizi ya kura. Hapa bado tutakuwa tumelinda kura zetu

Nawakilisha
 
Magufuli will definitely outclass Lowasa by huge margin during Sunday showdown

Psychopathic statement. You need someone to screw you hard in order to have your brain straightened!
 
Huyo PROF FEKI Huwezi hata kumlinganisha na MWAKYOMBO ONESMO.Anafikiri kuhonga watu JEZI NA MIPIRA Ndo atashinda.Kwanza tumewachukuwa wote tumewapa UWAKAKA!Lazima wampige chini.

Mwakyombo ndo nani umekariri hata mgombea haumjui anaitwa nani unakurupuka tu huyo mzee namuheshimu sana lakini basi analosafiria amepotea hapati hata kura za kujaa ki ndoo cha lita kumi alafu asilete umbea hapa haitwi mwakyombo anaitwa dr onesmo mwakyambo bwehaa wew
 
Kibaha ilikuwa ni shidaa, ilibidi magari yachepukie njia ya mkoani kwa muda!
 
Back
Top Bottom