KESHOKUTWA TUNAENDA KUMPIGIA KURA EDWARD LOWASSA,kisha tunatafutana kumalizia weekend vizuriii...!!!
Tanganyikana;
Usisahau kumuarifu jirani yako naye amwarifu mwenzake. Kura yako ni lulu kwetu UKAWA. Angalia tu isiharibike

![]()
![]()
Sasa hapa ni kijijini, na kule Jangwani kwa ccm ambako ni jijini, wapi kuna wananchi wengi?
Ccm kesho ageni. Kuanzia tarehe 26 ninajua mnaaza kugombana ninyi kwa ninyi tena vita vya aibu.
Majeshi mliyowaandalia UKAWa, Silaha za moto na magari ya delaya, vinakwenda kutumika kwenu na hkakuna UKAWA hata mmoja vitamhusu.
Mnachimba mashimo mtakayoingia wenyewe.
Nyavu mmezitega lakini tazama zawanasa wenyewe.
Mungu ni Mkuu sana tena ni Mwenye kuogofya!. Matendo yake yanatisha na Hekima Zake hazichunguziki!.
Huku Nkya tu kwa Mikumi!Endelea kudanganya wanywa viroba wenzio wa Chaggadema hapa JF!WATU WAMEENDA KUMSHANGAA "MSAGA SUMU"TU HATA MIMI NILIKUWEPO NA KAMA ANAJIAMINI AACHE KUTEMBEA NA MSAGA SUMU WA VIGODORO.

Magufuli will definitely outclass Lowasa by huge margin during Sunday showdown