Lowassa azizima Mikumi, Prof Jay Ubunge tayari

Lowassa azizima Mikumi, Prof Jay Ubunge tayari

amilyroley

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2015
Posts
621
Reaction score
1,200
Leo Lowassa amefanya mikutano mitano. Mlimba, Ifakara, Mikumu/Ruaha, Chalinze na Kibaha. Pote Lowasaa ametikisa kwa nafuriko ya balaa kama iilivyo kawaida yake. Amehitimisha kampeni za mikoani na kesho atazizima jijini dsm kwa mkutano wa kihistoria ambao watu nusu milioni wanakadiriwa kuhudhuria. Picha zifuatazo ni Mikumi kwa Prof Jay.

Tukutane kesho uwanja wa nyumbani Jangwani ambapo leo Magufuli ameshindwa kufikia rekodi zetu tuliyoweka wakat wa Ufunguzi wa Kampeni pamoja na mabasi zaidi ya 50 ya kampuni ya UDA kufanya kazi ya ziada kupita jiji lote kusomba watu. Kesho tunawapoteza kabisa.

1445611773216.jpg 1445611782243.jpg 1445611791960.jpg
 
Leo Lowassa amefamya mikutano mitano. Mlimba, Ifakara, Mikumu/Ruaha, Chalinze na Kibaha. Pote Lowasaa ametikisa vilivyo. Picha zifuatazo ni Mikumi kwa Prof Jay.
Tukutane kesho uwanja wa nyumbani Jangwani ambapo leo Magufuli ameshindwa kufikia rekodi zetu za tuliyoweka wakat wa Ufunguzi wa Kampeni. Kesho tunawapoteza kabisa

Si nilisikia eti huko vijijini jamaa hapendwi kabisa ......au ilikuwa ni hofu ya JK.
 
Mkuu hivi ulikuepo mi nilikuepo lowasa ni shida akina mama hapa ruaha leo wamefurahi mpka wamewehuka aseh.
Prof Jay anatisha sana kaka lowasa mwenyewe amekubali jamaa anaongea alafu anaconfidence ya hatari huyu atawakilisha vema wana mikumi
 
Leo Lowassa amefamya mikutano mitano. Mlimba, Ifakara, Mikumu/Ruaha, Chalinze na Kibaha. Pote Lowasaa ametikisa vilivyo. Picha zifuatazo ni Mikumi kwa Prof Jay.
Tukutane kesho uwanja wa nyumbani Jangwani ambapo leo Magufuli ameshindwa kufikia rekodi zetu za tuliyoweka wakat wa Ufunguzi wa Kampeni. Kesho tunawapoteza kabisa

Yaani nimepita Kinondoni(Kwa Manyanya) nikiangalia na mkutano wa Mikumi, Jangwani is a joke.
 
Magufuli will definitely outclass Lowasa by huge margin during Sunday showdown
 
Baada ya Sugu kuingia Bungeni, sasa zamu ya Professa Jay, hakuna tena wa kuzuia MABADILIKO.
 
Si nilisikia eti huko vijijini jamaa hapendwi kabisa ......au ilikuwa ni hofu ya JK.

Weeee mkuu asikuambie mtu huku ni hakufai ccm kwisha jimbo zima la mikumi lina kata 21 ccm imechukua kata moja tu huku moto umewaka makao makuu ya chadema mkoa wa morogoro nahisi yanatakiwa pelekwa ruaha - kilombero
 
Leo Lowassa amefamya mikutano mitano. Mlimba, Ifakara, Mikumu/Ruaha, Chalinze na Kibaha. Pote Lowasaa ametikisa vilivyo. Picha zifuatazo ni Mikumi kwa Prof Jay.
Tukutane kesho uwanja wa nyumbani Jangwani ambapo leo Magufuli ameshindwa kufikia rekodi zetu za tuliyoweka wakat wa Ufunguzi wa Kampeni. Kesho tunawapoteza kabisa
Haileweki.picha za mikumi hazijakamilika?Maana Ifakara sintofahamu zilitamalaki
 
Haileweki.picha za mikumi hazijakamilika?Maana Ifakara sintofahamu zilitamalaki

Sintofahamu gani acha uwongo wewe mkutano ifakara umeisha hapo ni ruaha na mi nilikuepo hapo kwenye mkutano
 
attachment.php

attachment.php

attachment.php

Sasa hapa ni kijijini, na kule Jangwani kwa ccm ambako ni jijini, wapi kuna wananchi wengi?

Ccm kesho ageni. Kuanzia tarehe 26 ninajua mnaaza kugombana ninyi kwa ninyi tena vita vya aibu.

Majeshi mliyowaandalia UKAWa, Silaha za moto na magari ya delaya, vinakwenda kutumika kwenu na hkakuna UKAWA hata mmoja vitamhusu.

Mnachimba mashimo mtakayoingia wenyewe.

Nyavu mmezitega lakini tazama zawanasa wenyewe.

Mungu ni Mkuu sana tena ni Mwenye kuogofya!. Matendo yake yanatisha na Hekima Zake hazichunguziki!.
 
Back
Top Bottom