Mzee wa Usafi
JF-Expert Member
- Apr 16, 2008
- 645
- 294
Kila tawi la FISIEMU limepewa sh 6,450,000 kwa ajili ya kufanikisha ushindi....MAWAKALA wa UKAWA wanatakiwa kuwa wazalendo kweli kweli
Mimi nitakuja nikusaidie kumkata mama yako!
Huku Nkya tu kwa Mikumi!Endelea kudanganya wanywa viroba wenzio wa Chaggadema hapa JF!WATU WAMEENDA KUMSHANGAA "MSAGA SUMU"TU HATA MIMI NILIKUWEPO NA KAMA ANAJIAMINI AACHE KUTEMBEA NA MSAGA SUMU WA VIGODORO.

Haileweki.picha za mikumi hazijakamilika?Maana Ifakara sintofahamu zilitamalaki
![]()
![]()
![]()
Sasa hapa ni kijijini, na kule Jangwani kwa ccm ambako ni jijini, wapi kuna wananchi wengi?
Ccm kesho ageni. Kuanzia tarehe 26 ninajua mnaaza kugombana ninyi kwa ninyi tena vita vya aibu.
Majeshi mliyowaandalia UKAWa, Silaha za moto na magari ya delaya, vinakwenda kutumika kwenu na hkakuna UKAWA hata mmoja vitamhusu.
Mnachimba mashimo mtakayoingia wenyewe.
Nyavu mmezitega lakini tazama zawanasa wenyewe.
Mungu ni Mkuu sana tena ni Mwenye kuogofya!. Matendo yake yanatisha na Hekima Zake hazichunguziki!.
Piga kura linda kura.
Inatakiwa uhalisia wa matukio Sio umahiri wa lugha ya kigeni,au ndo u ccm?tuambie kwa kinyakyusa piaMagufuli will definitely outclass Lowasa by huge margin during Sunday showdown
Tanganyikana;
Usisahau kumuarifu jirani yako naye amwarifu mwenzake. Kura yako ni lulu kwetu UKAWA. Angalia tu isiharibike
Hizo hela wameprint feki atayechukua atakutana na mkono wa sheria mbele. Watu hamuwezi fikiri tu hiyo jeuri ya kugawa milioni sita per tawi ccm wanapata wapi, feki hizo.Kila tawi la FISIEMU limepewa sh 6,450,000 kwa ajili ya kufanikisha ushindi....MAWAKALA wa UKAWA wanatakiwa kuwa wazalendo kweli kweli
Ulikuepo wapi..? Acha unafiki sema mkutano umefanyika viwanja gani?