Tundu Lisu ataitwa msaliti kabla ya 2020.Kupoteza muda na pesa bure tu !!nashauri njia iliyotumika kumkata Dr slaa itumike pia kumkata Lowassa 2020 chama kipate mgombea anayevutia watu kama Lissu!!!
Aondoke uko wakimzenguaTundu Lisu ataitwa msaliti kabla ya 2020.
Lakini kipindi yupo ccm ilikua haiishi mwezi tunasikia yupo ujerumani kutibiwa, na tangu ahame siku hizi sisikii tena, kweli kuwa ccm ni kujitakia matatizo ya kimwili na kiroho pia.inawezekana mkuu lakini nimemuangalia Lowasa kabla wakati yuko CCM alikuwa na furaha na uso wenye tabasabu kila wakati...toka ajiunge na CHADEMA amepoteza furaha anaonekana na huzuni muda wote
Hata Uchaguzi usimamiwe na umoja wa mataifa CDM mtashindwa vibaya!! Hakuna atakayekubali tena udanganyifu wenu!!-->>IPO HAJA YA KUANZA KUIPIGANIA TUME HURU YA UCHAGUZI ASUBUHI NA MAPEMA HII,TUPATE TUME HURU KWANZA KABLA YA YOTE.....
Mm ni CCM, ila mzee Lowassa nitakuheshimu daima na milele... una busara sana, hekima tele, una moyo mkubwa sana, CCM jua tulikupenda sana, kila mtu anajua, yote yamepita, MUNGU AKULINDE NA HARAKATI ZAKO HUKO UPINZANI...!!
Heshima yangu kwako iko daima, ingawa acha tu nifie CCM, sbb Chama ni kikubwa zaidi, ila mapenzi na heshima yangu unayo...!!!
Mungu akulinde Mzee Lowassa, tuna mengi ya kujifunza kwako, kwa miaka na miaka..!!
Kupoteza muda na pesa bure tu !!nashauri njia iliyotumika kumkata Dr slaa itumike pia kumkata Lowassa 2020 chama kipate mgombea anayevutia watu kama Lissu!!!