Lowassa azidi kujikita kwenye siasa

Lowassa azidi kujikita kwenye siasa

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2015
Posts
14,242
Reaction score
34,917
Edward lowassa akizungumza na viongozi na wafuasi wa chadema toka ngazi za chini kwenye ukumbi wa Billicanas asubuhi ya leo

IMG-20160807-WA0047.jpg
IMG-20160807-WA0048.jpg
 
Mwanasiasa adimu huyo..Wamemsema sana,wamemtukana sana. Lakini kutokana na hekima na busara alizo nazo anasonga mbele na hawajibu chochote. Mbaya sana unatumia fedha kumsema mtu kwenye media halafu hajibu kitu. Raisi wa mioyo ya watanzania walio wengi. Love u my president
 
Asante sana
 
sasa hapo si wanafanya mikutano mbona polic haiwaingilliii,, kutwa kulaumu serkali kwa mambo ya kitoto.
 
Mwanasiasa adimu huyo..Wamemsema sana,wamemtukana sana. Lakini kutokana na hekima na busara alizo nazo anasonga mbele na hawajibu chochote. Mbaya sana unatumia fedha kumsema mtu kwenye media halafu hajibu kitu. Raisi wa mioyo ya watanzania walio wengi. Love u my president

Mkuu Mh Lowassa ana hekima,lakini cha kushangaza humu humu Jamii Forum tulizoea kuona baadhi ya wadau wakimuandama karibu kila siku mfululizo utafikiri ni askari wa kukodiwa.Ziliandikwa ngonjera zenye kila hila,nashangaa sasa wameoja machungu wanageuka nyuma kuwa jiwe.
 
kamanda umemtaja lowasa kabla majipu co ltd hawajala? Leo hapatoshi na asiraaaa za lieu Jana hazijaisha wewe unamtaja lowasa? mhhhhh embu tuwasubiri wakurupuke
 
Kupoteza muda na pesa bure tu !!nashauri njia iliyotumika kumkata Dr slaa itumike pia kumkata Lowassa 2020 chama kipate mgombea anayevutia watu kama Lissu!!!

Kati ya CHADEMA na wale wanaoshughulishwa na Tundu Lissu ni nani wanaopoteza pesa?
 
Wanasema wazungu "what you see is what you are" unaweza ukaona kitu kibaya kumbe wewe ndo mbaya "unaweza ukasema Fulani kanuna kumbe wewe ndo umenuna"
inawezekana mkuu lakini nimemuangalia Lowasa kabla wakati yuko CCM alikuwa na furaha na uso wenye tabasabu kila wakati...toka ajiunge na CHADEMA amepoteza furaha anaonekana na huzuni muda wote
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom