Jukwaa la picha....unaweza weka picha hata bila manenoBas i ndio ushindwe mkuu hata kusema ilikuwa ni shughuli gani na kina nani???!!!!
Habari iwe feni na nguo?????!!!!!
Hii nimeipenda maana kwa joto la Dar, na nguo alizovaa na kwa sababu huwezi kutumia AC, basi walau ki-FENI kiwepo basi Kukupulizia upepo. RAHA JIPE MWENYEWE. Fedha unazo, kwa nini uhangaike na mijoto?
![]()
Habari ipo vipande vipande kamilisha ndio urushe hewani mjomba
Jukwaa la picha....unaweza weka picha hata bila maneno
afya mgogoro
No namaanisha maneno na picha ni vitu viwili tofauti kulingana na mtazamoUna uhakika hajaweka maneno!!!!
Hivi hii picha ni category gani ya shot na main object (focal/target) ni nini????!!
tembo wameisha, sasa manataka hata vyura wapoteeeLowasa kuwa waziri wa Utalii na Maliasili
afya mgogoro