Lowassa aumbuka Pemba

Unguja Jussa kamwita Jassu, kitetemeshi kibaya sana, Mungu atunusuru.
 
Teh teh teh..... Kuna mwingine alisema kuwa Saddam Hussein alikuwa Rais wa Libya.

Akatafakari akasema ni Rais wa Kuwait na bado ataanzisha mahakama ya mafisadi hajui Kama tayari ipo
 
Nahisi hujawahi hata kufika Zanzibar ww.... Kwa taarifa yako hakuna vesper zinazofanya biashara Zenj.... Tatzo Lowasa amezidi kukariri, hadi sera mmmh! Majanga kwa kweli

Nilikuwa Pemba mwaka jana nilifikia chake chake. Pemba bia ni adimu mpaka jeshini. Nilikuwa natumia boda boda kwenda jeshini Macho mane kupiga ulabu. Hivyo boda boda Pemba zipo ila sio nyingi na sijui kama sheria ya huko inaruhusu
 
Keep on dreaming by time u wake up U'll find urself dressless early in the morning at Jangwani cheering Dr Magufuri being sworn as the President of United Republic of Tanzania.

Kwamba Magufuli ataapishwa jangwani! Rais halali Lowasa wa Tanzania ataapishwa uwanja wa taifa.
 

Kwani pemba bodaboda hawazihitaji?!!!

Halafu, Kumbuka huyu si rais wa PEMBA, ni raisi wa JAMHURI YA MUUNGANO!
Ukishajua hilo, tafakari chukua hatua.
ACHA POROJO!
 
tukaneni weeeeeee mwisho wa cku mtasema mheshimiwa presida coz anayekudharau cku moja atakusalimia kwa heshima
 

Alikuwa anaongea na watanzania.kwa hiyo alikuwa sahihi.
 

Mbona yule aliyesema Saddam ni rais wa Kuwait hakuumbuka?
 
Acheni ufala, kauri hutolewa kulingana na hali halisi siku hiyo.
Upotevu wa kumbukumbu na kukalilishwa, mtake msitake
 
Mungu amekusikia, atamrehemu huyo unayembatiza kitetemeshi na hakika atakunusuru kama ulivyoomba. Hata Musa ambaye Mungu alimtumia kuwaokoa Waisrael sio kwa kutetema tu huyu hata kuongea alikuwa hawezi lakini alikuwa juu ya waliokuwa wanafikiri hawatetemi..... wait

Unguja Jussa kamwita Jassu, kitetemeshi kibaya sana, Mungu atunusuru.
 


heh heh heh sasa wacha huyo...kuna ile Kangala iliosema Sadam alikuwa Raisi wa Libya...mara akagundua kuwa kafturu kwa kusikia adhana ya saa kumi basi akajitia dole la koo na kutapika zaidi kwa kusema eti Sadam alikuwa Raisi wa Kuwait.........dah
 
Nahisi hujawahi hata kufika Zanzibar ww.... Kwa taarifa yako hakuna vesper zinazofanya biashara Zenj.... Tatzo Lowasa amezidi kukariri, hadi sera mmmh! Majanga kwa kweli

Pale darajan pemben ya barclays bank zpo bodaboda unasemaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…