Lowassa aumbuka Pemba

Lowassa aumbuka Pemba

Wee tatizo lako HUJAENDA JANDO...

UNA GOVINDA... sasa ni shida sana

Mtapiga push up hadi mkome...vueni na
nguo tuone hayo masox, uchafu mtupu from brain to ur bodies...!!!

CCM out...!!!
proof ya kufilisika. huna hoja unatapika mbege kama wachg wakilewa hiyo pombe yao. huna lolote chuki tu na ukabila. ikulu mtaiona tu sio kutaka kuweka fisadi mfanye ulanguzi.
 
maccm yamejaa humu jamii forum kweli kweli yaani lowasa anawanyima usingizi mtakiona tarehe 25

Keep on dreaming by time u wake up U'll find urself dressless early in the morning at Jangwani cheering Dr Magufuri being sworn as the President of United Republic of Tanzania.
 
Mafurikooooo pemba
 

Attachments

  • 1443903123334.jpg
    1443903123334.jpg
    120.2 KB · Views: 254
Una akili fupi sana, zanzibar ni sehemu ya muungano. He have to speak national matters sio ishu za jikoni kama akina magufuli kusonga ugali!

Brother, siku hizi wazungumzia masuala ya mtaa, sio tena kitaifa.
 
Umesahau na ya Magufuli kusema atawafunga mafisadi wote bila kujua kumbe Kikwete na Mkapa ni mafisadi.

alisema atafuata nyayo za waliomtangulia sasa atawezaje kuwafunga magwiji wake wa kisiasa?
 
Nahisi hujawahi hata kufika Zanzibar ww.... Kwa taarifa yako hakuna vesper zinazofanya biashara Zenj.... Tatzo Lowasa amezidi kukariri, hadi sera mmmh! Majanga kwa kweli

Na ww acha uongo zipo vespa zinakodishwa Zanj
 
Una akili fupi sana, zanzibar ni sehemu ya muungano. He have to speak national matters sio ishu za jikoni kama akina magufuli kusonga ugali!

Mgombea urais kujinyea imevunja rekodi mwaka huu
 
hata mkisema vip huyu ndiye rais mwka huu
lowassa mpaka mwisho
ikulu daima
 
Hah hah haaa. Kweli dawa imeshawaingia na kukolea, ... yaani magamba yoote yameshikwa sehem sehem pabaya. Hata watoto wadogo (yes, there are also big or adult children like Magu-Fool) walijua hiloo ati!!!!!

Soko la nepi za watu wazima limezidi kukua kipindi hiki.
 
Heheh hadi kampeni ziishe tutakuwa tumepasuka mbavu...

Hata hivyo ukilinganisha na ya magufuli hiyo ni cha mtoto. Magufuli akihutubia aliwambia wananchi kuwa atawajengea madaraja..wakamwambia hapa mbona hakuna mito....akadakia hata mito nitawaletea.
 
Huyu mzee kadri mda unavyosonga mbele naona hali yake inazid kuwa mbaya... Ni pale akiwa kisiwani Pemba alipotamka *BODA BODA WOTE NITAWAWATETEA * ikabidi wananchi wamshtue kwa kumwambia mzee Pemba hamna boda boda.... Ikambidi aombe radhi na kuendelea na mambo mengine.... Kukariri Kubaya jaman.

 
Last edited by a moderator:
haa haa sijui tanzania isingekuwa navijiji ccm wangesomba watu kutoka wapi....
 
Back
Top Bottom