Lowassa aumbuka Pemba

Lowassa aumbuka Pemba

Hivi Ninyi Mbona MNAOJITOA Ufahamu Kiasi Hicho!! Mh. Lowassa Aliuliza Swali Bodaboda Mpo!! Au Huku Pemba Hakuna Bodaboda!!?? Sijui Ninyi Uwa Mnatazama Hbr Za STARTVCCM, TBC1 Na CLOUDS TV Eeeee!! Maana Mnakuja Na New News Always!!! ALAFU Zenji Now Days Bodaboda Kama Kawa!! Hivi Kwa Kukosekana Ajira Hapa TANZANIA, Kuna Pahala Hakuna Bodaboda!! Ndorooobai!!! Kaandaeni Kitchen Party Ya Mgombea Wenu MSELA, HANA MKE!! Saddam Hussein Rais Libya, Mara Rais Wa Kuwait!! Tehe! Tehe! Tehe!! Kumbe Diplomasia Ya Nje Patupu Na Mama MTUPU!! Basi Ni MAJANGA!!! DKT. Anaposhindwa Kujua Hilo!
 
Wakat ww unasubir luningani mm nilikuwa mkutanoni,.. Alafu unaposema Dr hana mke ww ni kimada wake ama? Na Beautiful Lady Janeth ni nani? Mgombea wenu ameanza kupoteza kumbu kumbu anakariri sana,wananchi wengi mpaka sasa hawana habari nae wameamua kwenda na Dr Magufuri tu.
 
Pemba ni Tanzania pia, rudi darasani
 
Back
Top Bottom