Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 13,210
- 20,954
Huyu mzee kadri mda unavyosonga mbele naona hali yake inazid kuwa mbaya... Ni pale akiwa kisiwani Pemba alipotamka *BODA BODA WOTE NITAWAWATETEA * ikabidi wananchi wamshtue kwa kumwambia mzee Pemba hamna boda boda.... Ikambidi aombe radhi na kuendelea na mambo mengine.... Kukariri Kubaya jaman.