OgwaluMapesa
JF-Expert Member
- May 24, 2008
- 10,942
- 437
- Thread starter
- #61
Ccm walikubali mgombea binafsi kuwekewa Masharti. Moja likiwa ni ; mtu akijiondoa kwenye chama hataruhusiwa kugombea kama mgombea binafsi hadi after 5years baada ya kuhama. Wajumbe wote wa bmk waliopiga kura za ndio wote wakiwa wanaccm wakaunga mkono. Sasa huo ndo ulikuwa mtego wa ENL aliotegesha kupitia kwa Mzee wa Vijisent baada ya kujua majority ya NEC ya ccm wanamuunga mkono. Hivyo Sita membe; wasira, etc ndoto zao za urahisi ndo zimegonga mwamba.
Mkuu bado umelala nini? uchaguzi ujao ni katiba ya sasa ndiyo inatumika