Lowassa atikisa Buguruni katika ofisi za CUF

na silaa! Naye alikua chaguo la shetani! Kipindi mnampa promo!! Acha mungu kufananisha na Mbowe! Huyo ni chaguo la Mbowe na Mtei!!

Natamani Mno Kuwa Na Watu Wenye AKILI Na UFAHAMU Uliotukuka Kama Wewe ILA Kwa Bahati Mbaya Sana Humu Tupo Wachache Mno Na Tunaweza Hata Tukajihesabu. Sisi TUNAONA Wenzetu WAMEPOFUSHWA Na Hii Inaonyesha Ni Jinsi Gani Kizazi Hiki Cha VIJANA MAPOPOMA Wenye MUAMKO Na MIHEMUKO Ya KIPINZANI Walivyo Na MATATIZO Na Bomu La Future Ya Baadae Kwa Watanzania. Mkuu Ulichokiandika Hapa UMEMALIZA KILA KITU Na Tuliobarikiwa Tumekuelewa KULIKOTUKUKA.
 

Weka picha.
 

I can sense uneasiness among CCM followers. Get used to it because Lowassa is here to stay.
 
Kesho sidhani kama huko mjini kutapitika.
Kwenda kuchukua form kwa lowasa kutafanya huko mjini kusipitike.

Na Sasa Nimewaacha Wale Jamaa Zetu WANACHANGANYA MAJI YA KUWASHA Na VITOFA VYA MACHOZI.
 

hii ni intro bado kesho lazima wakae kama sio kunyooka:juggle:
 
Naona kama UKAWA imezidi kuwa moja hasa baada ya Lipumba kuondoka.
 
Kuna kila dariri za wale jamaa wa kijani kuhara damu musimu huu....
 

mkuu tuache utani mwenzio kada toka jadi ninaye ona giza mbeleni si kwa hila ama haki tumepoteana...
 
Siwezi kubishana na Rais ajaye.. ndio basi tena haikuwa na jinsi naona ccm hawajui ujasiriamali wapeni pole yao.
 

kwa hilo nakuunga mkono japo ...
 
mkuu tuache utani mwenzio kada toka jadi ninaye ona giza mbeleni si kwa hila ama haki tumepoteana...

Tukutane Uwanja Wa UHURU Tarehe 2 November 2015 Kwenda Kuona Jinsi Rais Mpya Wa Awamu Ya Tano ( 5 ) Dr. John Pombe Magufuli AKIAPISHWA. au Unataka Nikutajie Na Hapa Hapa Baraza Lako La Mawaziri Mkuu? Kama Unawasiwasi Na Wewe TAFADHALI Muda Bado Upo Na Upesi Sana Hamia CHADEMA Na UKAWA Usituchoshe Wana CCM Ambao Sasa Tunafanya Mazoezi Ya KUSHANGILIA Pale Uwanja Wa UHURU Na Ya Kuwazomea MAPOPOMA CHADEMA Na UKAWA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…