Wacha maccm watangetange kwa kumchafua,maana wanaelewa nini kinaenda kuwapata
Babaaaaaa Fantaaaaaa
Lowasa sijui ccm wataibaje hizi kura maana naona kila kona ya nchi wanachama wanazidi kuikimbia ccm,kwa jana pekee wamepoteza zaidi ya wanachama 3000 kuanzia tabora,engaruka, hadi korogwe,hii hali is alarming they have to do something very quickly
Haya mazingaombwe kwa tuliokuwa tunamfuatilia mamvi kabla hajakatwa pale dodoma tunajuwa mwisho wake. Lazima ATAKATWA tu Mungu anawapenda watanzania na nchi yao hawezi kuruhusu majambazi yaingie ikulu.
Sasa ni wazi nguvu ya Lowassa inazidi kuonekana hasa baada ya leo kutinga katika ofisi za CUF....
Kama hali ndio kama hivi, je kesho itakuwaje atakapoenda kuchukua fomu katika ofisi za NEC. Ambapo msafara utaanzia katika ofisi hizo za CUF saa tatu kamili asubuhi....
More pictures zinakuja.
na silaa! Naye alikua chaguo la shetani! Kipindi mnampa promo!! Acha mungu kufananisha na Mbowe! Huyo ni chaguo la Mbowe na Mtei!!
CUF itaanza kupanuka Tanganyika nako baada ya Lipumba kujaribiwa na kuangukia mtegoni kwa ccm. Slaa ni kiboko yao, hategesheki kirahisi maana anawajua sana TISS ya ccm
acha kufru hizo "haki ya nani tena wallah"ndo nn? kiapo Kwa muislam ni kusema wallah sio haki ya nani nadhani umenipata mkuu
Nasikia furaha sana kuona mambo yako hivi.Leo Kikwete alikua na hasira sana huko Mtwara maana alivyokua anaongea...mhhhh!
Na wale watu wachache waliojitokeza naona kaumia sana.
Na mimi ndio nafurahi hivyo; haya ndio malipo ya fitna zake.
Tumeshamzoe na maigizo yake huyo wakati wa kutafuta wadhamini ndani ya ccm ilikuwa kama hivi lakini alipokatwa hatukuona hayo mafuriko hata sasa hivi itakuwa hivyo tu. Time will tell!!
Lowasa sijui ccm wataibaje hizi kura maana naona kila kona ya nchi wanachama wanazidi kuikimbia ccm,kwa jana pekee wamepoteza zaidi ya wanachama 3000 kuanzia tabora,engaruka, hadi korogwe,hii hali is alarming they have to do something very quickly
Mbele ya wasomi maccm waliipindisha rasimu ya katiba sembuse kuiba kura sa mamilioni hiyo mbona rahisi sana?
Nakaa najiuliza hivi kweli ndugu lowasa atasimamia misingi ya ukawa??? Je atasimamia Sera za chadema?
Upinzani unahitaji mabadiliko mengi mojawapo ni hili LA serikali tatu....
He muumini wa serikali mbili atasimamia hili au ataachia wananchi waamue??
Alichofanya lipumba ni kama kakizindua cuf maana wanachama wake wameamka baada ya kuondoka ukawa nga'ng'ari lowasa ng'ang'ari