Haya mazingaombwe kwa tuliokuwa tunamfuatilia mamvi kabla hajakatwa pale dodoma tunajuwa mwisho wake. Lazima ATAKATWA tu Mungu anawapenda watanzania na nchi yao hawezi kuruhusu majambazi yaingie ikulu.
Wataisoma namba mwaka huu!
kijana tumia lugha ya staha tunaumiaa...ujue..!
Narudia tena kuwaambia, Lowassa ni chaguo la Mungu..... Haya yote ni makusudi ya Mungu
Wapiga kura ni kama wafugaji hufuata malisho kulingana na wakati huo so siajabu wakarudi tena walikotoka mvua ikianza kunyeshaLowasa sijui ccm wataibaje hizi kura maana naona kila kona ya nchi wanachama wanazidi kuikimbia ccm,kwa jana pekee wamepoteza zaidi ya wanachama 3000 kuanzia tabora,engaruka, hadi korogwe,hii hali is alarming they have to do something very quickly
ni balaa ,kesho police watakua na fitna
Peleka ujinga huko Lowasa ndo Rais wa JMT amin ivo kila kitu kishawekwa Sawa
Unaongelea mungu wa umasaini au?
Rais ameshateuliwa anasubiri kuapishwa.huyo wakwenu alikatwa kaja huko sasa kama bado mnampenda sana nendeni mkanywe nae chai.
Pole, ila kujifariji kwa matumaini ya uwongo siyo mbaya,inasaidia kupunguza msongo wa mawazo.Rais ameshateuliwa anasubiri kuapishwa.huyo wakwenu alikatwa kaja huko sasa kama bado mnampenda sana nendeni mkanywe nae chai.
Kwa wivu na hasira mlionayo kwa El hatutashangaa mkizidi kumzongazonga na kumuwekea mizengwe. Haki ya mtu haipotei bure.
Babaaaaaa Fantaaaaaa