Lowassa atikisa Buguruni katika ofisi za CUF

na silaa! Naye alikua chaguo la shetani! Kipindi mnampa promo!! Acha mungu kufananisha na Mbowe! Huyo ni chaguo la Mbowe na Mtei!!

Kadiri unavyojitingisha ndivyo Kijiti kinazidi kukuingia.. Bora unyamaze tusijue unavyoteseka
 

Si na wewe ulikuwa member wa bunge lile ukiiwakilisha geita
 
CCM mwaka huu wataondoka madarakani kiulani sana kwani hayo mafuriko yameshaanza kuwakatisha tamaa.

huyu ndo mgombea uraisi kupitia ccm akicheza kiduku ameshaanza kujiandaa kisakolojia sasa
 
Wacha maccm watangetange kwa kumchafua,maana wanaelewa nini kinaenda kuwapata

Hahahahaha ...... Ama Kweli Dunia hadaa... Huyu alikuwa msafi lini hata achafuliwe leo? Ni nini kipya kinachosemwa juu yake? Ni nini kimewapata Watanzania ?!!!
 
Mkuu major mwendwa nashukuru kuona kamanda anajali tatizo mimi nataka nione sasa....
Hata hivyo nitaangalia hili kwa mapana zaidi.
 
Last edited by a moderator:
Nayachukia maCCM aisee, huu mwaka mrefu bana hivi kwa nini October haifiki huyu msanii wa wasanii akaitema ikulu yetu?
 
mgombea wa chadema anaanzia cuf ambako kuna ofisi na mwenyekiti katimuliwa
 
Kwani mtaivunja TISS ya sasa na kuunda nyingine mkishika madaraka?

Haaayo ni maoni yako ingawa ni mazuri pia. Sio lazima ibadishe jina, lakini mfumo mpya ni lazima maana kwa sasa imekaa kiccm zaidi sio kitaifa. TISS ya Mwalimu JKN ilikuwa ya kitaifa tofauti na sasa.
 
Kwani mtaivunja TISS ya sasa na kuunda nyingine mkishika madaraka?

Japo hayo ni maneno yako, TISS itakuwa na ulazima wa kusukwa upya kulinufaisha Taifa kuliko ilivyo hivi sasa imekaa kiccm zaidi na kupungukiwa na utaifa kama ule wa JKN
 
Kuanzia leo CUF itakuwa kivutio kikubwa kwa Watanzania...... Lowassa ni zaidi ya mafuriko

Ili mbegu yoyote ilete tija ni lazima ife kwanza na kupotea kabisa, ikishaota inaleta mbegu nyingi na bora zaidi.
 
Kweli cdm mnatapatapa,yani baada ya kukosa ofisi mmeamua kwenda kuanzia kwa wenye ofc kwa kisingizio cha mwenyekiti mwenza ambaye pia hayupo. Poleni poleni jamani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…