Lowassa atikisa Buguruni katika ofisi za CUF




tutaheshimiana tu ata wewe ni mwizi tumezidiana viwango turn una bisha!!

October utafute chaka
 

Usinfananishe Mungu na mjomba wala shangazi,Mungu wetu ni wa upendo,Mungu wa rehema,ndio maana unashauriwa unapopishana na mtu usitegemee eti Mungu atamuadhibu kirahisi rahisi hujui mtu alijimimina kiasi gani mbele za Mungu,huku wewe ukijihesabia haki,Mungu wetu si mwepesi wa hasira...ila ni mwingi wa kusamehe.jiulize hichi kibali anakitoa wapi pamoja na maneno yenu kila kukicha yakumchafua...
 

Mkuu ni vitu ambavyo amekubaliana navyo serikali 3 mamlaka kamili Zanzibar Tanganyika iwepo na jamhuri baba yao aendelee kuepo
 
mtuambie mapema kama wataonyesha kesho kwenye tv uchukuaji fom ili nisiende kazini... mana nshachukia hata kazi ya hawawezi nnaowadai madai kibao hawalipi zaidi ya hadithi tu.
 
Niandikie mtu aliye msafi sio mwizi hana skendo hata mmoja ndani ya ccm niichane kadi yangu ya c.d.m sasa hivi.
Chana tu naona kama hakana thamani ni vunga. Imekuuma najua wewe ni act au ccm maozea ndo mna roho ngumu.
 
magufuli ni mpango wa shetani kuendelea kutawala watanzania.
 
mtaji wa sisiemu ni ujinga na umaskini wa watanzania...
 

Msijisahau sana. Numbers speak louder than words. Waliojiandikisha Dar es Salaam ni watu 2.8 million. Lakini waliojiandikisha Tanzania nzima ni 23.8 million. Kwa hiyo 21 million voters wapo nje ya Dar es Salaam. Mjipange sana na huyu ndugu yenu. CCM inashinda mapema sana kwa sababu mtandao wa upinzani ni dhaifu sana kila kona ya nchi. Ni makelele yasio na tija.
 
Last edited by a moderator:
Bila mabadiliko nawaapia hakutaeleweka WARNING! ZITAANZIA KWENYE MITA YAO YENYE MAJUMBA YA KIFAHARI
 



Umemaliza Kila Kitu Mkuu Na Kama Wanadhani Wapiga Kura Wa Dar Haswa KINONDONI BIAFRA, KAWE, MBEZI BEACH, TANDIKA MWEMBE YANGA, TEGETA, MANZESE, TANDALE Na BUGURUNI Ndiyo Wanatupatia Rais Wasubiri Waone Mziki Wetu Wana CCM. Hakuna Kitu Kizuri Duniani Kama KUMUONA MTU MPUMBAVU AKIHANGAIKA KUTAKA KUSHINDANA NA WEWE MWEREVU ULIYETUKUKA.
 
Ratiba ya Kampeni za Ukawa:

KIKOSI CHA CDM 2015:

*Chopa 10
*Mabasi 30
*Magari madogomadogo 500
*Bodaboda 6500
*Baskeli 3000

*ESTER BULAYA
*LEMBELI
*JOHN HECHE
Watafanya kampeni mwanza musoma na tabora.

*TUNDU LISU
*MAKAIDI
watafanya kampeni singida na Dodoma

*SUGU
*PROF J,
*ADAM ZELLA
*MSIGWA
Watafanya kampeni mbeya, Iringa morogoro na ruvuma

*LEMA
*JOSHUA NASSARI
Watafanya kampeni mikoa ya arusha Kilimanjaro na manyara,Lindi ,mtwara na pwani.

*KAFULILA
*MBATIA
*RWAKATARE
*KUBENEA
*MARANDO
*MTATIRO
Watafanya kampeni D,salaam na Zanzibar.

*SALUM MWALIMU
*MAALIM SEIF
*PLUS TEAM CUF
*JUMA DUNI
*MNYIKA MBOWE
Hawa watazunguka nchi nzima bila kujali kanda.

*TEAM LOWASSA
Hawa watatembea nyumba kwa nyumba
*M4C
Hawa watatembea Kata kwa Kata.

*FRIENDS of LOWASSA Hawa watatapakaa nchi nzima kuleta ushawishi plus CDMA intelligencia watatapakaa nchi nzima kubain wizi, njama na mipango mibaya ya ccm.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…