Gwesefe
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 680
- 377
Kweli mmeshaanza kuwa WAKIWA! Mnajulikana kuwa sample yenu ya watanzania mnaichukulia wapi... kama unaichukua kutoka katika ile jamii yetu fulani fulani...ambayo kwa hisia zenu mnazani kuwa watanzania wote wanafikiria hivyo hapo ndio mnapotoka nje ya Mstari na kupagawa...
Watanzania wengi hawapo Mijini..... hawapo kwenye vijiwe vya boda boda!! Wala sio kwenye Mabaa na vilabu vya Mtori..
Kama kawaida pia hawana access ya pro Chadema Jamii Forum na Mitandao ya kijamii mingine... Wanapatikana Vijijini ambako hata magazeti yanafika kwa Shida....
Kwa taarifa yenu Upinzani upo Kwenye Majimbo 211 kati ya 366...... MAGUFULI amefika physically katika Majimbo yote 211 ambayo yalikuwa na element ya upinzani na kufanikiwa kuwa karibu na wapigakura. Mpaka sasa 70% kutoka kwenye majimbo hayo watampigia MAGUFULI..... Na mwaka huu uwezekano wa viti vya upinzani kupungua Bungeni ni Mkubwa kutokana na twist ambayo UKIWA wanacheza!
Sijakuelewa hapo kwenye MAJIMBO 211 kati ya 366....