Lowassa atashinda urais, hili halina ubishi! CCM wanaona siasa kama soka!

Out of 10 people, 8 say ccm out!

Kiongozi!

Upo sahihi kabisa. J2 nilihudhuria sherehe ya mahafali Rosemin Sec School Saruji Tanga. Ikafika muda wa fasion show kwa wanafunzi. Likaja vazi la nguo/ mashuka ya kimasai. Kijana mwanafunzi mshereheshaji akalinadi vazi hilo kwa umahiri mkubwa sana, huku akitangaza na kuchagiza kwamba, kwa wale wamaompenda Mh. Lowassa na wana mabadiliko hilo vazi vipi?

Umati ulilipuka kusema MABADILIKOOO! Na kuzungusha mikono huku wakionyesha ile ishara ya V. Baada ya hapo ukafika wakati wa mlo. Hapo ndipo niliamini kwamba, familia 10 kati yake 8 ni YES kwa Lowassa. Kama ni kwa sanduku la kura, FisiSiSiEm hawapati kitu.
 
Kama umesikiliza hotuba ya Rais Kikwete leo huko Dodoma kuhusu kulinda kura mita mia 200, ndiyo utajua serikali ni nini! Serikali haina Saloon, bali magereza!


Amiri jeshi mkuu anatqngaza state of emergency kwa wananchi wanqoshiriki uchaguzi kikamilifu? Huu ni ujuha wa halinya juu sana.
 
Kweli mmeshaanza kuwa WAKIWA! Mnajulikana kuwa sample yenu ya watanzania mnaichukulia wapi... kama unaichukua kutoka katika ile jamii yetu fulani fulani...ambayo kwa hisia zenu mnazani kuwa watanzania wote wanafikiria hivyo hapo ndio mnapotoka nje ya Mstari na kupagawa...
Watanzania wengi hawapo Mijini..... hawapo kwenye vijiwe vya boda boda!! Wala sio kwenye Mabaa na vilabu vya Mtori..
Kama kawaida pia hawana access ya pro Chadema Jamii Forum na Mitandao ya kijamii mingine... Wanapatikana Vijijini ambako hata magazeti yanafika kwa Shida....
Kwa taarifa yenu Upinzani upo Kwenye Majimbo 211 kati ya 366...... MAGUFULI amefika physically katika Majimbo yote 211 ambayo yalikuwa na element ya upinzani na kufanikiwa kuwa karibu na wapigakura. Mpaka sasa 70% kutoka kwenye majimbo hayo watampigia MAGUFULI..... Na mwaka huu uwezekano wa viti vya upinzani kupungua Bungeni ni Mkubwa kutokana na twist ambayo UKIWA wanacheza!

Hizo hila zenu na kete za ubaguzi simeshindwa, nazo zimeishiwa pumzi. Poleni sana, muda hauwatoshi kuwabadilisha wapiga kura
 
Kwa kila dalili zinaonyesha pasipo shaka Lowassa anakwenda kuchaguliwa kuwa raisi ea awamu ya tano! Hata watumie nini nguvu ya wananchi ni kubwa kuliko. So jamaa ajiaandae kutoka hikulu
 
Anasubiri kuapishwa tu mkuu. Magufuli hawezi kuwa mpinzani wa lowassa.. It's a bad joke
 
Kama hapendi kuwa mpinzaninanaweza tuko huko aliko akaja kwenye serikali ya speed ya 120


QUOTE=Last emperor;14426580]Anasubiri kuapishwa tu mkuu. Magufuli hawezi kuwa mpinzani wa lowassa.. It's a bad joke[/QUOTE]
 
Back
Top Bottom