Viongozi wa TZ ni wa ajabu sana!
(1)LOWASA-Alikuwa PM lkn HAKUTHUBUTU kuyasema mapungufu ya mfumo wetu wa elimu na KUYAPATIA UFUMBUZI alipokuwa madarakani!
(2)SUMAYE-Alikuwa PM na ndiye aliitumbukiza nchi kwenye rushwa ya uchaguzi alipoongoza Bunge litunge sheria ya TAKRIMA lkn sasa analia kuwa Mama Nagu alimuangusha kwa rushwa amesahau kuwa ni YY aliyeiasisi!
(3)Mzee Mangula nae juzi kasema atapambana na rushwa lkn KASAHAU kuwa ndiye yeye aliipamba kwa kutamka kuwa"mgombea kuwahudumia wapiga kura KABLA ya kupiga kupiga kura sio dhambi"lkn baadae akalalamika sana alipoangushwa kwa rushwa na Jah People kule Iringa!
INA MAANA VIONGOZI WETU WANAONA MATATIZO HADI WAKITOKA MADARAKANI?Lowassa na wenzake ni wa kupuuzwa na HAWANA JIPYA!
Tunakoelekea waTZ siyo kuzuri. Hivi kweli mtu aogope kutoa dukuduku lake moyoni au mawazo yake ya namna ya kuboresha jambo fulani eti kwa sababu tu jambo analoongelea alishindwa kulitekeleza wakati alipokuwa na fursa ya kuwa miongoni mwa viongozi!!!??? Sidhani kama hiyo inaketa mantiki. In fact, kuna mambo ambayo ukiwa nje unayaona vizuri kuliko ukiwa ndani. Kwa hiyo, kwa kuwa nchi inahitaji mawazo ya watu katika kuijenga, lazima turuhusu kila mtu awe na uhuru wa kuchangia mawazo yake whether alikuwa au hajawahi kuwa kiongozi.
Tunakoelekea waTZ siyo kuzuri. Hivi kweli mtu aogope kutoa dukuduku lake moyoni au mawazo yake ya namna ya kuboresha jambo fulani eti kwa sababu tu jambo analoongelea alishindwa kulitekeleza wakati alipokuwa na fursa ya kuwa miongoni mwa viongozi!!!??? Sidhani kama hiyo inaketa mantiki. In fact, kuna mambo ambayo ukiwa nje unayaona vizuri kuliko ukiwa ndani. Kwa hiyo, kwa kuwa nchi inahitaji mawazo ya watu katika kuijenga, lazima turuhusu kila mtu awe na uhuru wa kuchangia mawazo yake whether alikuwa au hajawahi kuwa kiongozi.
Huyu huyu Lowassa angekuwa bado serikalini angetetea kwa nguvu zake zote utendaji wa serikali. Ndiye aliyeanzisha shule za kata, ni lini amegundua kuwa kuna haja ya kuwa na waalimu bora kabla ya kuanzisha hizo shule? He is part of the problem, he cannot be part of the solution.Tunakoelekea waTZ siyo kuzuri. Hivi kweli mtu aogope kutoa dukuduku lake moyoni au mawazo yake ya namna ya kuboresha jambo fulani eti kwa sababu tu jambo analoongelea alishindwa kulitekeleza wakati alipokuwa na fursa ya kuwa miongoni mwa viongozi!!!??? Sidhani kama hiyo inaketa mantiki. In fact, kuna mambo ambayo ukiwa nje unayaona vizuri kuliko ukiwa ndani. Kwa hiyo, kwa kuwa nchi inahitaji mawazo ya watu katika kuijenga, lazima turuhusu kila mtu awe na uhuru wa kuchangia mawazo yake whether alikuwa au hajawahi kuwa kiongozi.
LEO KATIKA GAZETI LA MWANANCHI:WAZIRI Mkuu aliyejiuzulu, Edward Lowassa amesema kuna haja ya kutathmini upya mfumo wa elimu nchini, ili kuona kama bado unafaa au la.Alisema hatua hiyo inapaswa kufanywa sasa kabla mambo hayajaharibika zaidi na kwamba anaamini kuwa tangu mfumo uliopowekwe enzi za Mwalimu Nyerere, kuna mabadiliko mengi yamejitokeza.Lowassa alisema hayo jana alipokuwa akizungumza na Shirika la Utangazaji la Uingereza (BBC) ofisini kwake jijini Dar es slaam.''Mimi nasema kuwa sasa wakati umefika kama taifa. kuunda tume ya elimu, ili kuangalia na kupitia mfumo wote wa elimu, kuangalia mitalaa yetu kuanzia elimu ya awali mpaka vyuo vikuu, kuangalia ubora wa elimu hiyo, vitabu gani vitumike, maslahi ya walimu, yaani kwa ujumla tuangalie upya kuhusu mfumo wa elimu yetu.''alisisitiza Lowassa.Lowassa alipendekeza kuundwa kwa tume ya elimu kwa ajili ya kufanya kazi hiyo, ili kwenda na wakati. "Tume hiyo iundwe kuchunguza, kutathmini na kuona, endapo mfumo wa elimu wa sasa unaendana na wakati,"Lowassa alisema nchi zote zilizoendelea duniani, zimekuwa zikifanya hivyo."Marekani hivi sasa kuna mchakato wa kuangalia elimu inayotolewa kama inaendana na changamoto za karne ya 21," alisema.Kumekuwa na malalamiko mengi miongoni mwa wadau wa sekta ya elimu kwamba mitalaa ya elimu nchini, haimwandai mwanafunzi kukabiliana na changamoto za maisha ya karne hii ikiwa ni pamoja na kujiajiri.Lowassa ambaye pia ni Mbunge wa Monduli, amesema Serikali ya CCM imefanya mambo makubwa sana katika sekta ya elimu, hususan awamu hii ya nne ambayo kwa mafanikio makubwa, imeweza kujenga shule za sekondari katika kata zote nchini.Katika mkutano wake mkuu wa nane hivi karibuni mjini Dodoma, CCM ilitoa mapendekezo kadhaa miongoni mwao likiwa la kuboresha elimu nchini.''Mimi nilipata bahati ya kuongoza juhudi hizo za Serikali kwa mafanikio makubwa kujenga shule hizo, lakini mafanikio hayo yamekuja na changamoto zake''alisema.Alisema changamoto kubwa zilizojitokeza katika mafanikio hayo ni ubora wa elimu inayotolewa na shule hizo, uhaba wa walimu na vitendea kazi vikiwemo vitabu na masilahi kwa walimu. Alisema Tanzania ina bahati ya kuwa na wasomi waliobobea ambao wanaweza kazi hii ya kuangalia mitalaa inayotumika ili kuona kama inakidhi haja na matakwa ya karne ya sasa.My Take- Hivi Lowassa anapochukua muda mwingi kuongea haya na vyombo vya Habari ni sehemu sahihi?. Lowassa ni Mbunge kama wabunge wengine kwa nini haya anayoyasema asingeyaongea Bungeni ambayo ni sehemu muafaka na Bajeti ya serikali ndiko inakopitia?
Ni kweli, mfumo wa elimu ufumuliwe, wananachi hawawezi hata kuandika kwa aya.LEO KATIKA GAZETI LA MWANANCHI:WAZIRI Mkuu aliyejiuzulu, Edward Lowassa amesema kuna haja ya kutathmini upya mfumo wa elimu nchini, ili kuona kama bado unafaa au la.
Alisema hatua hiyo inapaswa kufanywa sasa kabla mambo hayajaharibika zaidi na kwamba anaamini kuwa tangu mfumo uliopowekwe enzi za Mwalimu Nyerere, kuna mabadiliko mengi yamejitokeza.Lowassa alisema hayo jana alipokuwa akizungumza na Shirika la Utangazaji la Uingereza (BBC) ofisini kwake jijini Dar es slaam.
''Mimi nasema kuwa sasa wakati umefika kama taifa. kuunda tume ya elimu, ili kuangalia na kupitia mfumo wote wa elimu, kuangalia mitalaa yetu kuanzia elimu ya awali mpaka vyuo vikuu, kuangalia ubora wa elimu hiyo, vitabu gani vitumike, maslahi ya walimu, yaani kwa ujumla tuangalie upya kuhusu mfumo wa elimu yetu.''alisisitiza Lowassa.
Lowassa alipendekeza kuundwa kwa tume ya elimu kwa ajili ya kufanya kazi hiyo, ili kwenda na wakati. "Tume hiyo iundwe kuchunguza, kutathmini na kuona, endapo mfumo wa elimu wa sasa unaendana na wakati,"Lowassa alisema nchi zote zilizoendelea duniani, zimekuwa zikifanya hivyo."Marekani hivi sasa kuna mchakato wa kuangalia elimu inayotolewa kama inaendana na changamoto za karne ya 21," alisema.
Kumekuwa na malalamiko mengi miongoni mwa wadau wa sekta ya elimu kwamba mitalaa ya elimu nchini, haimwandai mwanafunzi kukabiliana na changamoto za maisha ya karne hii ikiwa ni pamoja na kujiajiri.
Lowassa ambaye pia ni Mbunge wa Monduli, amesema Serikali ya CCM imefanya mambo makubwa sana katika sekta ya elimu, hususan awamu hii ya nne ambayo kwa mafanikio makubwa, imeweza kujenga shule za sekondari katika kata zote nchini.
Katika mkutano wake mkuu wa nane hivi karibuni mjini Dodoma, CCM ilitoa mapendekezo kadhaa miongoni mwao likiwa la kuboresha elimu nchini.''Mimi nilipata bahati ya kuongoza juhudi hizo za Serikali kwa mafanikio makubwa kujenga shule hizo, lakini mafanikio hayo yamekuja na changamoto zake''alisema.
Alisema changamoto kubwa zilizojitokeza katika mafanikio hayo ni ubora wa elimu inayotolewa na shule hizo, uhaba wa walimu na vitendea kazi vikiwemo vitabu na masilahi kwa walimu. Alisema Tanzania ina bahati ya kuwa na wasomi waliobobea ambao wanaweza kazi hii ya kuangalia mitalaa inayotumika ili kuona kama inakidhi haja na matakwa ya karne ya sasa.
My Take- Hivi Lowassa anapochukua muda mwingi kuongea haya na vyombo vya Habari ni sehemu sahihi?. Lowassa ni Mbunge kama wabunge wengine kwa nini haya anayoyasema asingeyaongea Bungeni ambayo ni sehemu muafaka na Bajeti ya serikali ndiko inakopitia?
.......
wanajf wenzangu!ni vema mtu ukawa maskini wa hela kuliko kuwa masikin wa kujenga hoja,uwezo wa kutambua unachangia nini na wapi na hasa dunia ya sasa,,well nirejee kwenye mada,mh lowasa kaeleza umhimu wa kupata tume huru ya elimu ambayo itatoa dira na mwanga nini kifanyike katika elimu yetu ili kuweza kumsaidia mtanzania kijana aweze kupata fursa ya ajira au kujiajiri mwenyewe,,nashangaa na kusikitika kuona great thinker wanakuwa watupu na weupe kuchangia kwenye hoja hii muhimu kwa mustakabali wa taifa letu.nilichokiona kwa mleta mada na wengine kama mzee mwanakijiji mnamshambulia lowasa kwa uccm wake na nafasi yake ya upm enzi hzo,na kusema kweli na nina hakika angekuwa bad
unajitahiiid kumpalilia mamvi,,,,lakini ndo hivo alichemkaTunakoelekea waTZ siyo kuzuri. Hivi kweli mtu aogope kutoa dukuduku lake moyoni au mawazo yake ya namna ya kuboresha jambo fulani eti kwa sababu tu jambo analoongelea alishindwa kulitekeleza wakati alipokuwa na fursa ya kuwa miongoni mwa viongozi!!!??? Sidhani kama hiyo inaketa mantiki. In fact, kuna mambo ambayo ukiwa nje unayaona vizuri kuliko ukiwa ndani. Kwa hiyo, kwa kuwa nchi inahitaji mawazo ya watu katika kuijenga, lazima turuhusu kila mtu awe na uhuru wa kuchangia mawazo yake whether alikuwa au hajawahi kuwa kiongozi.
Anachosema Lowassa ni kuwa sera za chama chake kuhusu elimu zimeshindwa. It is as simple as that. Na anataka Watanzania wawaangalie wao tena kuona kama wanaweza kutengeneza walichobomoa.
Anachosema Lowassa ni kuwa sera za chama chake kuhusu elimu zimeshindwa. It is as simple as that. Na anataka Watanzania wawaangalie wao tena kuona kama wanaweza kutengeneza walichobomoa.
BMT;
Tanzania ya sasa ina watu wengi wenye elimu na uwezo. Ukiboronga kaa pembeni na waachie wenzako. Lowasa akae tu pembeni.