Lowassa atahadharisha magadi soda Engaruka

hivi magadi na Tanzanite kipi kipo juu huyu babu ni juha

Magadi Soda yako Juu zaidi ya Tanzanite wewe ndiyo haelewi unachokieongea! Unajua Magadi Soda yana matumizi gani hapa Duniani? Tanzanite ina thamani ndogo sana ukilinganisha na Magadi soda kwa maana zaidi ya Urembo hamna kingine unachoweza kufanya na Tanzanite halafu isitoshe Tanzanite imekuwa inaibiwa tangu siku ilipogundulika na Maraisi wote wanne wameshiriki kwa namna moja au nyingine kuhujumu Tanzanite lkn Magadi soda ndiyo hata kuchimbwa hakujaanza hivyo ni vizuri kama tukihakikisha yananufaisha Watu!
 
Tunaimani na lowassa oyaaa X10000 Lowassa kwel¥ kwel!!! kwel lowassa
 
Siwezi kuwa fair kwa mtu ambaye badala ya kuzungumza kama mgombea wa Urais bado anazungumza kama Mbunge. Mbona mabilioni yake aliyokuwa anayagawa nyumba za ibada hakuyagawa jimboni kwake tu badala yake aliyagawa katika mikoa mbali mbali nchini kabla ya kupigwa stop na chama chake!? Pamoja na kuwa hajawahi kutamka kwamba anagombea Urais unafikiri kwanini alikuwa anagawa yale mabilioni nyumba za ibada na kwanini CCM walimpiga stop ili aache kugawa mabilioni yake nyumba za ibada? Je, unadhani CCM walikurupuka!? Muwe mnafikiri kabla ya kuandika.

Embu jaribu kuwa fair angalau kwa siku moja kwa mwaka na jaribu kusoma habari na kuielewa!
Bw.Lowasa ni Mbunge wa jimbo la Monduli na hayo Magadi Soda yako kwenye kijiji cha Engaruka ndani ya Jimbo la Monduli sasa ulitaka aongelee kuhusu Buzwagi au North Mara? na angefanya hivyo pia mngesema kwa nini anaongelea Majimbo ya watu wakati la kwake limemshinda halafu isitoshe Bw.Lowasa hajawahi kutamka kwamba anataka kuwa Raisi wa TZ ni ninyi tu ndio mnachechetuka!
 
Magadi Soda yako Juu zaidi ya Tanzanite wewe ndiyo haelewi unachokieongea! Unajua Magadi Soda yana matumizi gani hapa Duniani? Tanzanite ina thamani ndogo sana ukilinganisha na Magadi soda kwa maana zaidi ya Urembo hamna kingine unachoweza kufanya na Tanzanite halafu isitoshe Tanzanite imekuwa inaibiwa tangu siku ilipogundulika na Maraisi wote wanne wameshiriki kwa namna moja au nyingine kuhujumu Tanzanite lkn Magadi soda ndiyo hata kuchimbwa hakujaanza hivyo ni vizuri kama tukihakikisha yananufaisha Watu!

Umeandika pumba tu hayo Tanzanite hayajatulipa na yanapatikana Tz peke yake itakuwaje hayo magadi ambayo Marekani ni kinara ?
 
Kupatikana TZ peke yake SIYO hoja, hoja ni kwamba ni nini matumizi ya Tanzanite? na Soko lake Duniani likoje? Nimekuuliza tena Unajua matumizi ya Magadi soda?
 
Siwezi kuwa fair kwa mtu ambaye badala ya kuzungumza kama mgombea wa Urais bado anazungumza kama Mbunge. Mbona mabilioni yake aliyokuwa anayagawa nyumba za ibada hakuyagawa jimboni kwake tu badala yake aliyagawa katika mikoa mbali mbali nchini kabla ya kupigwa stop na chama chake!? Pamoja na kuwa hajawahi kutamka kwamba anagombea Urais unafikiri kwanini alikuwa anagawa yale mabilioni nyumba za ibada na kwanini CCM walimpiga stop ili aache kugawa mabilioni yake nyumba za ibada? Je, unadhani CCM walikurupuka!? Muwe mnafikiri kabla ya kuandika.

Umeshajibu mwenyewe kwamba alikuwa anagawa Makanisani na Misikitini sasa unataka kujua nini Hapo? Ulipaswa kwenda sasa kuwauliza hao waliopata mgao (Makanisa na Misikiti) hiyo misaada walifanyia nini au wanapeleka wapi, na maadamu hajatanganza bado kugombea Uraisi basi hiyo michango mnayosema anatoa kwangu mimi ni ni kama fungu la Kumi tu na wengi wanafanya hivyo kuanzia Mengi, Wahindi kama akina Bakhresa, Soboda n.k
 
Magadi Soda yako Juu zaidi ya Tanzanite wewe ndiyo haelewi unachokieongea! Unajua Magadi Soda yana matumizi gani hapa Duniani? Tanzanite ina thamani ndogo sana ukilinganisha na Magadi soda kwa maana zaidi ya Urembo hamna kingine unachoweza kufanya na Tanzanite halafu isitoshe Tanzanite imekuwa inaibiwa tangu siku ilipogundulika na Maraisi wote wanne wameshiriki kwa namna moja au nyingine kuhujumu Tanzanite lkn Magadi soda ndiyo hata kuchimbwa hakujaanza hivyo ni vizuri kama tukihakikisha yananufaisha Watu!

Mungu wangu wee!!!!
magadi soda yapo juu kuliko Tanzanite tangu lini? magadi soda hukusanywa kwa malori tani kwa tani, Tanzanite ukipata saizi ya ukucha wako tu we ni tajiri, sasa hapo kipi kina thamani? Wapambe wa EL kazi kwelikweli!!!! kichwa-buyu
 
Nimeuliza Swali unafahamu matumizi ya Magadi soda Duniani? Achana na stori za vijiweni!
 
Kupatikana TZ peke yake SIYO hoja, hoja ni kwamba ni nini matumizi ya Tanzanite? na Soko lake Duniani likoje? Nimekuuliza tena Unajua matumizi ya Magadi soda?

sitaki kuamini magadi soda yana gharama kuliko Tanzanite
 
Usijifanye kama hukuyaona maswali yangu niliyokuuliza. Nasubiri majibu ya maswali hayo.

Umeshajibu mwenyewe kwamba alikuwa anagawa Makanisani na Misikitini sasa unataka kujua nini Hapo? Ulipaswa kwenda sasa kuwauliza hao waliopata mgao (Makanisa na Misikiti) hiyo misaada walifanyia nini au wanapeleka wapi, na maadamu hajatanganza bado kugombea Uraisi basi hiyo michango mnayosema anatoa kwangu mimi ni ni kama fungu la Kumi tu na wengi wanafanya hivyo kuanzia Mengi, Wahindi kama akina Bakhresa, Soboda n.k
 
sitaki kuamini magadi soda yana gharama kuliko Tanzanite

Unaposema yana gharama unamaanisha nini? Je Gharama ya kuyavuna ktk ardhini?
kama unajua Matumizi ya Magadi Soda ndiyo utaelewa ninachomaanisha!
Tanzanite inatumika kwa Urembo tu na soko lake Duniani kwa mwaka ni Dola za kimarekani kama 500 milioni na hiyo ni kwa end user kama tiffanys halafu isitoshe Tanzanite inaweza kutengenzwa synthetic yake yaani unaweza kutengeza Tanzanite kiwandani bila ya kuivumna ardhini, msidanganywe sana hawa wanasiasa, Tanzanite haina dili kihivyo kwanza ungeniuliza mimi ilipaswa ibaki kuwa Malighafi ya Mererani tu na inufaishe huko na Siyo TZ nzima kwani thamani yake ni ndogo sana!

dhahabu inatumika kama mapambo mbona thamani yake ipo juu ??
hayo magadi yangekua dili kama unavyotaka kumaanisha watu wangekua washagawana vitalu acha uj.inga hebu changanya na zako
magadi matumizi yake hasa ni nini ukitoa kupikia
 
Back
Top Bottom