Edu anachokisema ni sahihi kimefanyika kwa NHC huko Dar-es-salaam kwenye kujenga Maghorofa yanayoporomoka, Matajiri wameiingia ubia na NHC,wao ndiyo wenye ardhi wanahisa 30% na Mbia ana 70%.
Nchi zenye kutaka kuwakomboa wananchi wao kutokana na umasikini hilo siyo wazo baya.
sasa kwanini NHC wasiwe na 70% wakati ndo wenye kiwanja (ardhi). kwanza hili la NHC sio mfano wa kuigwa matajiri wanachukua hati za NHC wanaenda kukopa bank ndo wanajenga yeti wanamiliki 70% inamaana siku bank wakiamua kuuza jengo tayari NHC atapoteza na kiwanja pia.