Lowassa atahadharisha magadi soda Engaruka

Lowassa atahadharisha magadi soda Engaruka

Yaani rasilimali zote zilizokuwepo Tanzania ameamua kuzungumzia magadi tu!! Na huyu ndiye anayetaka kuwa Rais wa Tanzania!!!

Kwa kifupi anazungumzia kwao. Ndiyo ya Kikwete na bandari ya Bagamoyo
 
Wananchi tushadanganywa sana sana ardhi vijijini zinauzwa sana, Wakenya wanawatumia wanavijiji kununua ardhi. ...EnL anamaanisha kuwa Partnership katka ardhi na Kanuni yake ni kuwa lazima ifuate sheria na mwananchi mzawa ndo atapata 70% Twende na EnL kihalisia

Thanks Mkuu!!
 
Lowasa hajawahi kusema atagombea urais lakini kila siku story ni EL tu.....siku akitangaza itakuwaje?? hakika ardhi ya TZ itatikisika...
 
Jaribu kuelewa kwanza kabla ya kulaumu!
Mh. Lowasa ni Mbunge wa eneo Hilo lililogunduliwa magadi kwa hivi sasa hivyo anaongelea Madini ambayo yamegunduliwa ktk eneo lake hivi karibuni.
TUMPE nchi nzima ili asimamie na kutoa kauli kwa nchi nzima!

Magadi yapo longtime hayajagunduliwa juzi, hii ni vita ya ufisadi tu. Kenya wamenyemelea muda Mrefu sana lkn kwasababu ya interest za kila fisadi ikabidi yatulizwe tu.

Magadi yapo na yamegundulika muda Mrefu sana
 
dhahabu inatumika kama mapambo mbona thamani yake ipo juu ??
hayo magadi yangekua dili kama unavyotaka kumaanisha watu wangekua washagawana vitalu acha uj.inga hebu changanya na zako
magadi matumizi yake hasa ni nini ukitoa kupikia

hujui Kama kimya
 
Edu anachokisema ni sahihi kimefanyika kwa NHC huko Dar-es-salaam kwenye kujenga Maghorofa yanayoporomoka, Matajiri wameiingia ubia na NHC,wao ndiyo wenye ardhi wanahisa 30% na Mbia ana 70%.
Nchi zenye kutaka kuwakomboa wananchi wao kutokana na umasikini hilo siyo wazo baya.
 
Nilisikia katika taarifa ya habari Lowassa akisema kuwa wamasai wasiuze ardhi yao bali watakao kuja kuwekeza wawaambie wawagawie 70% ya hisa.

Najiuliza, ina maana wananchi wa Nyamongo wadai 70% ya hisa kutoka mgodini? Wananchi wa Lindi wadai 70% ya hisa kutoka Dangote, wananchi wa Mtwara wadai 70% ya hisa kutoka Petrobras?

Je, formula hii itatumika kwa Vodacom, Airtel, na TANAPA kwenyewe tunafanyaje?

Mimi nilitegemea angeshauri kupitia NDC wananchi wanunue hisa za kiwanda cha magadi, au mkuu alimaanisha nini hasa?

Mwenye shamba akipewa 70% ya hisa wananchi wengine walioko nje ya hilo shamba inakuwaje?
Wazo la Lowassa liko vizuri sana. kenya wameanza hilo, ambapo 45% ya mapato ya resource inabaki katika County husika....... kwaiyo siyo jambo geni
 
Edu anachokisema ni sahihi kimefanyika kwa NHC huko Dar-es-salaam kwenye kujenga Maghorofa yanayoporomoka, Matajiri wameiingia ubia na NHC,wao ndiyo wenye ardhi wanahisa 30% na Mbia ana 70%.
Nchi zenye kutaka kuwakomboa wananchi wao kutokana na umasikini hilo siyo wazo baya.
Na mbaya zaidi saizi NHC wanauza almost everything, my worry ni kama baada ya miaka 60 kutakuwa na NHC....... Wazo la mapato kadhaa ibaki kwenye eneo husika ni moja ya njia ya ukombozi kwa nchi masikini na hasa Tanzania ambayo kila mkoa kuna resources zinazoweza kuwa fully utilized...
 
Na hata Jaji Mark Bomani niliwahikumsikia akisema wawekezaji wanaochimba madini wawekewe sheria kuwa baada ya kuuza madini yetu nje ya nchi pato linalopatikana la fedha za kigeni asilimia 50% ya hizo pesa zirudishwe na kuwekwa kwenye Benki za hapa nchini
 
Rostam alisema ni wanasiasa uchwara lakini sasa hawa wengine ni wanasiasa mafisadi ambao wanayo tayari hiyo 70% yao na sasa wanaanza kutusanifu kwa maana wanajua ujinga wetu. Wanachosahau ni kuwa wao 70% waliyonayo hawakupewa bali wameipora sasa wanadhani sisi wengine ndio tutapewa kirahisi hivi!?
No way, tutaipata kwa njia nyingine, yeye ana buy time ili tufanye makosa tumuingize kwenye 'pango' aendeleze mchezo wao.
 
Na mbaya zaidi saizi NHC wanauza almost everything, my worry ni kama baada ya miaka 60 kutakuwa na NHC....... Wazo la mapato kadhaa ibaki kwenye eneo husika ni moja ya njia ya ukombozi kwa nchi masikini na hasa Tanzania ambayo kila mkoa kuna resources zinazoweza kuwa fully utilized...

Mkuu salute! your worry is exactly the same as mine. NHC itakwenda na maji your right, mimi nimekuwa nikiwaambia jamaa zangu hakuna mkoa katika nchi hii ambao hauna enough resources zakuondoa umasikini kwa wananchi wake tatizo ni ubinafsi wa viongozi.
 
Lowasa toka nimemfahamu hajawahi kua na mawazo mazuri bali ni matamshi yenye utata tu bila hata kuangalia hali halisi
 
uzi huu ni kielelezo cha ujinga wa watanzania....Lowassa haeleweki nini
 
Kama ni 70% basi twende kwa mwendo huo nchi nzima tuone wamasai watachunga wapi ng'ombe zao. Tuone kama ni haki gesi kutoka mtwara au kama dangote atajenga kiwanda cha simenti kwa kutoa 70% ya hisa kwa wanamtwara
 
Back
Top Bottom