Lowassa ashauriwa asigombee urais

Lowassa kwishne!!

Huwezi kushindana na Mungu. Huyu fisadi wakti wote amekuwa anajaribu kujitakasa na kujisafisha katika juhudi zake za kuingia Ikulu. Keshaenda mpaka kwa Nabii Joshua, Israel n.k. ili kupata baraka za kuwa Rais lakini hakuna.

Kuna msemo ambao Lowassa na mafisadi wenzake ndani ya CCM wanatkiwa kuuzingatia. Kwamba.''When God says NO there is none can say YES''!! Huu ni ukweli ambao Lowassa hawezi kubishana nao.

Stay tuned............
 

We huyo mungu wako ulimsikia wapi? Hata yeye ana Mungu wake na Mungu anasemehe yote iweje asimsamehe lowassa? Tuache chuki
 
Ndugu pole sana kwa ushabiki wa kisiasa,sasa hata kama ni mgonjwa wewe una nini cha ziada hata ulete habari kama hii kiushabiki? Mbona watanzania hampendi kuombeana mema katika hali za afya? Tumwombe Mungu atujalie tupate viongozi wenye utu na maadili na wenye afya njema.
 

Ni taarifa ya kimbeya ya mwaka humu jamii forum! unastahili kuzawadiwa
 

hii vita ya mnyukano wa wanaccm nimeipenda sana.. Maana itatusaidia sana sisi huko mbeleni.. Yani mkiendelea kunyukana hivi aaaaaaaaah ndio burudani kwetu.. Mkuu endelea kumwaga vitu
 
huyu jamaa anajua kweli kuleta ushabikuna wake.. Ila nimeshangaa eti issue kubwa itakayo mdhuru fisadi lowasa ni kugombea urais tu. Inamaana hakuna shughuli nyingine itakayo mdhuru kiafya zaidi ya kuutafuta urais???
 
Mkuu Allan Halid Kiluvia bahati nzuri wewe si verfied user laiti mheshimiwa Pasco angejua unaishi wapi,unakunywa wapi,unatembelea maeneo gani hakika leo ungekuwa na manundu uso mzima mwenzio anajiandaa kuchukua nafasi ya ukurugenzi wa mawasialano magogoni wewe unaleta habari zisizo na kichwa wala miguu ha ha haha ha.


 
Last edited by a moderator:
Hivi jaman mbona ujinga hivi we mtu ananunua kula kwa nguvu afu hadharani afu bado mnashadadia ooh lowasa lowasa jaman acheni ujinga huo haya ....yani utafikiri mmelishwa bang za ujinga ndo mkapost uzandiki wenu endeleeeni tu kutumika mala membe mala lowasa mi nawecheki tu sa ngoja ifikia sehemu alliance zote ziwe na nguvu sawa muone ka hajachaguliwa magufuli shobokeni tu sana na huo upambe upambe.......
 
Hapa kwenye red imekaa kiushabiki zaidi.
 
Lowasa anaadhibiwa na Mungu kwa kutumia nyumba za Ibada kujisafisha na kashfa za ufisadi

Kwa kuthibitishaa hili ,dunia imejawa n'a ibada ya Kila namna Hii ni ishara mwanadamu anatafuta njiaa ya kumkaribia mungu wake... Yupo aliyezaidi ya mwanadamu naye ni mungu pekee ,hatima zote mikononi mwake .....Mapovu yatawatoka sana Kwa kupambana na sauti ya mungu....Edward lowassa umejaliwa Moyo wa kutoaaaaaaa......kutoa ni Moyo Baba
 
endeleeni kusema Lowasa ni mgonjwa yeye anazidi kupeta na sisi wananchi tunamwombe kwa Mungu azidi kumlinda na kumpa nguvu ili mwaka ujao achukue nchi.tunajua hata baathi ya wana ccm wanamwogopa sana Lowasa kwa utendaji wake wa kazi ndio maana kila siku ni Lowasa lowasa tuu lakini kweli Mungu yuko upande wake atashinda.
 

Ahaaaaahaaaa ,lowassa ndiye Rais subiriaaa 2015 mtajibebaaaaa
 

Tulieni awanyoe p.u.m.b.a.f.u
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…