Lowassa ashauriwa asigombee urais

Yani nipo hospitali nimepanga foleni kwanzia satatu.
Mara Umeme umekatika Mara mchukua vipimo maabara Mzee. Tabu tupu
 
Wenye uelewa hata kama hawamkubali Lowassa,wataanza kujiuliza ni kwanini nguvu kubwa inatumiwa na baadhi ya wanaCCM kumdhoofisha huyu jamaa na kwamaslahi ya nani?
 
Wenye uelewa hata kama hawamkubali Lowassa,wataanza kujiuliza ni kwanini nguvu kubwa inatumiwa na baadhi ya wanaCCM kumdhoofisha huyu jamaa na kwamaslahi ya nani?

Tutasikia Mengi, ila kwa sasa sijaona mtu mwingine ndani ya ccm.
 
Angekua nania ya kukwamisha angpga kura ya Hapana huuu uongo Wa zaman hatudanganyiki afie ikulu hakuna kulala
 
tuache tamaa, urais tumpe prof. Anna tibaijuka
 
Huwa naheshimu post za kila mtu jambo kubwa kwangu nikipata tarifa kama hii huwa naanza kutafiti na kupata ukweli zaidi nimefanya hivi kwenye post nyingi za chabruma na kupata ukweli juu ya post za chabruma kwa undani kabisa.

Makonda aka Chabruma lazima akonde kwa presha na rafiki yake simiyu yetu kwa kumtetea joka la mdimu.
 
Mbona unatuletea kingereza cha mitaani. Naona ulikuta tangazo mahali ukadesa.
 
Hawa mabwana wa WAMA na joka la mdimu wameishiwa sera. Wamebaki kulialia tu. Sasa wapigwe tu ameingia ulingoni ndiyo wamechanganyikiwa kabisaaaaaaaaaaa.....
 
Wenye uelewa hata kama hawamkubali Lowassa,wataanza kujiuliza ni kwanini nguvu kubwa inatumiwa na baadhi ya wanaCCM kumdhoofisha huyu jamaa na kwamaslahi ya nani?

Mimi binafsi siipendi ccm kama kinye....... lakini siungi mkono mbinu zinazo tumika na wana ccm kumkashifu huyu mzee mfano ni huyu makondaaaa ananiudhi sana kwani yule mzee ni kama baba yake kama sio babu yake. Lakini pia najiuliza mtoa maada uelewake mdogo sana kwani tangu nimekuwa mkubwa sijaona hata siku 1 vipimo vya afya vikafanywa na mtu mwingine kwa niaba ya mwingine, eti mke wake alienda kucheki vipimo? kwa niaba ya EDO kweli hii kali
 

As days goes.... duuuuuu kimombo cha wapi hiki. Mmekalia mitusi tu wakati kingereza cha darasa la 3 kina kutoa jasho. Mnapingana na ukweli kwamba jamaa yenu mwizi anaumwa!!! Nikuulize swali dogo tu,kama hukuwepo, waulize wenzako waliokuwa pale makaburi ya kinondoni kwenye mazishi ya mtoto wa Mzee Mangula watakwambia hali ya Lowassa ilikuwaje. Time will tell, 2015 is coming very soon. Mnamtetea humu lakini wapiga kura asilimia kubwa hawako humu JF.
 
Huyu Lowassa si alikuaga mzima alianzaje kuumwa hivyoo???
 
Diallo ndio wakumwita lowassa fisadi? nchi hii vituko kila siku... Mwisho wake mtaandika Lowassa hagombei, kasha kick the bucket wakati laigwenan ndio kwanza kumekucha kila kitu iko moto kwenye kampeni yake.
 
Yaani unawashwa 0713... kila kukicha lowassa,lowassa,leta story nyingine
 

chadema hoi kwa jamaa mpaka bac kwa kwel ni jembe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…