Lowassa asababisha timua timua ITV

Ngoja niwawekee aina uongo Magamba

wanaoutengeneza na kuusambaza Facebook instargram na mitandao mbalimbali na ukweli wake

Magamba wanadhani bila Lowassa ndo watashinda
Thubutuuuu hata asingekuwepo Mwaka huu mtakoma
 
Nyie mnatumia ngapi kwa pushup? Hata jana nilimwona anawasotesha mashehe Zanzibar! Ngoja washindwe shughuli za nyumban kama atapata kura za akina mama

Pushup dk 5 hotuba lisaa na nusu non stop and without sitting or pee!!
 
Mwenye afya hamuhitaji daktari, sikuja kawaita watu wema bali wenye dhambi ili wapate kuokoka. Amen
 
Lakina kama wewe ni mtz nahali kama hiyo iko ! Namnajua hii ni inchi. Kwanini watu wa fiche hali yake nahali yakuwa inchi inatumiya mabilioni kwa ajili ya uchaguzi wanajidanganya wenyewe na sisi awe mungu ione tz yako na uihurumiye
 
Kwa sasa ITV hawataki/wamesusa pia kuweka video za habari za mgombea Urais kwa tiketi ya CCM kwenye akaunti yao ya YouTube.
 
Huyu mzee simpendi,lakini huwa sioni kama ni jambo la busara kumsimanga afya yake,suala la kuwa mgonjwa halijalish wewe ni tajiri au maskini.tumponde kwa mengine lakini mambo ya afya yake tumuachie yeye na mungu wake.
may god bless u and try to teach other
 
Back
Top Bottom