Lowassa asababisha timua timua ITV

Mie kwa kuwa sili kwenu nimeamua kumpa mgonjwa kura yangu ili imponyeshe kwenda white house.
 
Uwongo tu na hz ni.propgnd za ccm,,,lowasa yuko poa kbs na Mungu anampenda sn na lzm awe rais
 

Taja majina sio kutuambia Watangazaji kadhaa tu!
 
Weka hiyo clip tuone wote sio mgonjwa mgonjwa tusitoane akili hapa mabadiliko kwanza.
 
Huyu mzee simpendi,lakini huwa sioni kama ni jambo la busara kumsimanga afya yake,suala la kuwa mgonjwa halijalish wewe ni tajiri au maskini.tumponde kwa mengine lakini mambo ya afya yake tumuachie yeye na mungu wake.

Katika comment zako zote leo umeongea maneno ya busara. Hongera sana.
 

Mleta mada hizo hapo chini ni baadhi ya Comments zako katika mijadala mbalimbali.Nataka ujulikane wewe ni mtu wa aina gani kwanza


 
Vipi na kuhusu zile video za TBC zinazodaiwa zilizovuja zikimwonesha Lowassa akimkunja saba mama yako umeshazipata?

kazipata ila naona kasahau kuzizungumzia asante kwa kumkumbusha naona ataziazishia uzi mwingine!
 
Masihara juu ya ugonjwa Wa MTU kwa kuwa wewe una afya ni kufuru mbele ya mungu Na wanadamu pia. Yupo aliewahi kusema ataona awamu ya tatu akiapishwa tena kwa kuwa ana afya safi labda abondwe Na daladala
Hakika awamu ya tatu hakufika
 
Naogopa kuchangia hili LA afya ya MTU huyu nataka kuishi mie
 
Mimi hata sijali,lolote wanalomsema kwangu haipunguzi kitu kura yangu ni kwa Lowasa tu
 
Naface jiandae kwenda kumsalimia mtikila kombani et al .... tuachieni rais wetu lowassa ...
 
Hiyo video akikohoa kohoa iko wapi maana umesema imesambaa mitandaoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…