Lowassa asababisha timua timua ITV

Mungu pekee ndie ajuae uzima was mwanadamu. Lowasa ni mzima KIROHO na ndomana anasonga mbele hana muda wa kumjibu mtu.
 

Sidhani hapa kama suala ni kudhihaki uginjwa kwani hata nami sipendi kabisa suala la kudhuhaki ugonjwa. Swala hapa ni kuwa je Kwa Lowassa kuwa Mgonjwa na ndiye anayehitajika na hao wanaiomuhutaji sasa je akicg=haguliwa ni kweli yeye ndie atakaeendesha nchi? Si itaiongozwa na kina Mbowe? na kama walikuwa na uwezo huo si wanmgeomba wao wenyewe kuongoza nchi? Kwa maana nyingie hawana uwezo bali wanamtumia tu hyu baba masikini kwa manufaa yao.
Issue ya kusema ooh wewe unaweza ukawa si mginjwa ukafa , hilo tunalifahamu lakini sidhani kama ni busara kumchagua mtu huku bayana hali yake ya kiafya si nzuri huo ndio ukweli mchungu! Kwani licha ya kuwa tija yake itakuwa limited lakini ni kumtesa hata yeye mwenyewe kwani hapo yuko kwa maslah ya watu fulani na sio kwa walala hoi ambao ndio majority wa nchi hii na wana haki sawa na hao ELITES waliojipambanua na kutumia haohao walala hoi kuwalaghai!
 

It is very very true! yeye alifanya nini akiwa huko CCM? Mnafiki mkubwa kitu gani kipya alichonacho? Inajulikana kuna watu binafsi watafaidika na ndio wanaowashawishi wnegine nasi kwa Ujinga wetu eti tunakubali. BIG NO kwa Lowassa!!!
 

Mzee amechoka apumzike tuu na watanzania tumemvhoka pia
 
Hata kama angekuwa mgonjwa wa kufa tarehe 26th Oct, mimi nitampa kura tarehe 25th Oct.
 
Nimechoka kujibishana na CCM maana kila unajitahidi kuwaekemisha , wao wanakua busy kujiandaa kuongea mara tu umalizapo. Sasa hivi tukutane hapa baada ya tarehe 26
 
Mgonjwa ndio mzuri... maana ndie anae mkumbuka mungu kwa wakati huo wa Ugonjwa.... hivyo naimani na mgonjwa atatenda haki ya kweli kumzidi Yule mpiga push up mwenye Afya tele..... Viva Lowassa for 2015
 

Kuugua sio kufa hapa haliongelewi suala la kufa mimi binafisi sikubali kuongozwa na ngonjwa wakati wazima wapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…