Lowassa asababisha timua timua ITV

Lowassa asababisha timua timua ITV

Naface

Member
Joined
May 27, 2015
Posts
66
Reaction score
65
Hali ni tete ndani ya kituo cha ITV kufuatia kuvuja kwa video zinazomuonyesha mgombea wa Chadema Edward Lowassa akiwa kwenye hali ya udhoofu.

Mtoa taarifa ambaye ni mtangazaji wa ITV anasema, mmiliki wa kituo hicho Reginald Mengi baada ya kulalamikiwa na Lowassa juu ya video hizo ambazo zimesambaa kwenye mitandao ya kijamii, alitaka wote waliohusika kwenye utayarishaji wake wawajibike.

Anasema uandaaji wa matangazo hayo ya Lowassa ambayo yameanza kurushwa na ITV, yalichukua muda mrefu kuyaandaa ambapo Lowassa kutokana na hali yake ilimlazimu kurudia kila mara na wakati mwingine alionekana kushindwa kuongea na kukohoa sana.

Video hizo ambazo alishindwa kuongea ndo zimesambazwa na kumkera Lowassa na kukosa imani na ITV kituo ambacho inaelezwa alianza kukilalamikia kwa kupunguza habari za mikutano yake.

Mtoa taarifa anasema tayari baadhi ya watendaji wamesimamishwa kazi kwa kitendo cha kusambaza video zinazomdhalilisha Lowassa na kuonyesha udhaifu wake ambao Chadema wanajitahidi kuuficha.
 
Lowasa anajulikana kuwa mgonjwa, hakuna shika ila kura yangu na familia anayo
Wacheni kumkufuru Mungu kwa kumwita Lowassa mgonjwa kama nyiye ndiyo mliomuumba.

Jiulize swali moja tu la msingi ni kwa nini wagombea wengi wanaoonekana kuwa wako fit sana ndiyo wanapukutika na kumwacha Lowassa ambaye anadaiwa kuwa mgonjwa?

Hiyo inatuonyesha namna Mungu anavyotuonyesha utukufu wake mkuu.
 
Huyu mzee simpendi,lakini huwa sioni kama ni jambo la busara kumsimanga afya yake,suala la kuwa mgonjwa halijalish wewe ni tajiri au maskini.tumponde kwa mengine lakini mambo ya afya yake tumuachie yeye na mungu wake.
 
Wacheni kumkufuru Mungu kwa kumwita Lowassa mgonjwa kama nyiye ndiyo mliomuumba.

Jiulize swali moja tu la msingi ni kwa nini wagombea wengi wanaoonekana kuwa wako fit sana ndiyo wanapukutika na kumwacha Lowassa ambaye anadaiwa kuwa mgonjwa?

Hiyo inatuonyesha namna Mungu anavyotuonyesha utukufu wake mkuu.

Soma content, mimi team Lowasa hata angekua ICU anamwandika Magufuli email mimi nampigia kura
 
kama ni kweli ITV wako sahihi. kwanini watoe hizo clip za kumdharirisha mtu. uungwana ni muhimu...
 
Ha ha ha!
HUU NI UZUSHI WA MCHANA KWEUPEE. WEWE ULITAKA KUMTUKANA LOWASSA KAMA ILIVYOKAWAIDA YENU.

WATU MSIO NA BABA MNASHIDA SANA..!

Mhuuu.... mkuu wewe ni mtabiri nini umempatia kabisakabisa kama ulikuwepo !!
 
Tatizo Si Kusambaza Video, Tatizo Je Hzo Video Zina Ukweli? Pili Ni Akina Nan Wamefukuzwa? Ebu Tuwe Tunahoji Tusikimbilie Matusi,
 
Mm kura yangu ni kwalowaxa 2 hata kama wanaxema ni mgonjwa nibora 2kampa lowaxa kuliko kuwapa hao wanaojiita wazima ambao wanazid ku2umiza
 
Ccm mmejaha uongo na unafiki kila sehemu kama yule kiongozi wenu mwezi Wa kwanza uongo hadi kwenye maisha ya watu chopa zetu zote mzima wakati kuna watu wamepoteza watu muhimu katika maisha yao
 
Wacheni kumkufuru Mungu kwa kumwita Lowassa mgonjwa kama nyiye ndiyo mliomuumba.

Jiulize swali moja tu la msingi ni kwa nini wagombea wengi wanaoonekana kuwa wako fit sana ndiyo wanapukutika na kumwacha Lowassa ambaye anadaiwa kuwa mgonjwa?

Hiyo inatuonyesha namna Mungu anavyotuonyesha utukufu wake mkuu.

Yeye anagombea urais ndio sababu, cheo cha mwisho kabisa, kwa ugonjwa wake anaweza hata kuamuru makombora yavurumishwe ...
 
Back
Top Bottom