Inatia hasira sana.Lowassa akipanda anaonge dakika 15 na Mh.Pombe Magufuli anaongea weee. ana rudia wee.Mafisadi Jela Mafisadi Mwisho.Alafu bado Malofa ni Lowasa Lowasa. hii ni hatari na inatia hasira sana .Itabidi mkazo uongezwe kwa kutumia Jeshi Sasa
Eti dodoma wakiichagua tena ccm tatizo la maji litakuwa history!!!!..., kweli???
Eti dodoma wakiichagua tena ccm tatizo la maji litakuwa history!!!!..., kweli???
Hao wanakuja na ahadi ya maji kwa miaka hamsini kweli this errand is possible to get again ?
magufuli na lowasa wote wamefilisi nchi hii sichagui wote wawili matatizo
Maskini malock hana sera zaidi ya kutumia za chadema na kukosoa mfumo mkwamo wa ccm