Silentobserver007
Member
- Jun 26, 2015
- 69
- 30
Lowassa ana mamilioni ya wafuasi, makundi kwa makundi Waalimu, Machinga, Bodaboda, vijana, Mama ntilie, Wafanya kazi, wakristo, waislam, maaskofu, masheikh, wafugaji, wakulima, UVCCM, BAVICHA, UWT, BAWACHA, CCM 80%, CHADEMA, CUF, ACT....
Yaani hakuna wa kuweza shindana nae ktk mbio za Urais kwa sasa, hakuna kabisa... na anajua mbinu nyingi sana za ushindi, he is very very ahead of game, very strategic...
Atashinda mapema mnoooo, na uhakika, akitangaza tu kwenda UKAWA, mamilioni ya wananchi wa kila aina, watamfuata kwa mamilioni, utakuwa ndio mwanzo wa Tanzania mpya..
Mkuu kwani tunaposema Serikali ya Chama tawala tuna maana gani?
Mi nahisi hilo neno lako "vision" ulikuwa unamaanisha "hallucinations" na ndio alizokuwa nazo babu yako mamvi team wapigaji mtalalamika sana mwaka huu mshajua hamli hela za wananchi kupitia fisadi wenu mkuu lazima mtanyooka tu. Hata kura upeleke wapi tingatinga kishapita. Pole sana
Wewe kwa vyovyote vile ni lazima fisadi mwenza, ama ulikuwa unaonja hela za hili fisadi lililosababishia taifa matatizo ya huduma ya umeme, ama ni mjinga, au mpumbavu, au ---- ama lofa sijui nikuiteje lakini inaelekea huna uwezo wa kufikiri na ni watu kama nyie mnaoendelea kushabikia ujinga mpaka kabirini. Kwahiyo unaona lowassa ni bora kuliko Magufuli na yeye na Slaa ndio wana sifa zinazoendana? Kwanini hao Chadema mnaowakimbilia ndio walikuwa mstari wa mbele kushinikiza atolewe madarakani wakimchafua ni fisadi kila kona. Huwa naudhika sana ninapoona watu wajinga wajinga wanaropoka humu. Ondoa uchafu wako kamuimbie lowassa wako ngonjera zako hizi.
Acheni kupotosha Lowassa hapendwi na watanzania, wapambe wake wachache ndiyo wanapenda hela zake. Angekuwa na uwezo angewezesha ushindi arusha na arumeru. Ni wajjinga na wapumbaffu tu ndiyo watadhani anapendeka na eti ana mvuto
Sasa wewe inakuuma nini? Mbona hukumshauri lolote wakati alipokatwa?Katika hali ya kushangaza Ukawa baada ya kumtukana na kumkashifu Lowassa leo wanamuona Lowassa ni Lulu. Mh. Lowassa chondechonde hao jamaa ni Mafia ukiisha watengenezea mambo yao yakiwa safi watakuua,kwani watakuwa wameishakamata dola na ndio lengo lao kubwa kukamata dola kwa njia yoyote ile iwe ya kheri iwe ya shari. Wanasema wazi kwa sababu una umati mkubwa wa wananchi hivyo wanakuhitaji ili kuiondoa Ccm madarakani. Je what next? Its you. Wameshakuwa wanasema siku nyingi wewe ni mgonjwa hata kampeni zako ulikuwa unapigwa sindano ili uweze kufanikisha,leo kunani wanamtaka mgonjwa,fisadi na mwizi? Wanasema itabidi utubu madhambi kwa Mchungaji Msigwa na hapo Mungu na wao watakusamehe!!! Mh. Lowassa chonde chonde huna usalama huko ni bora anzisha chama au uende kwingine kuliko kwa hao jamaa,kumbuka hao ndio chanzo cha wewe kukosa kuteuliwa kwa kukuhofia na bado watakuwa na hofu ya wewe kukikamata chama wakati wao ndio waliokifikisha hapo kilipo na wameinvest pesa nyingi huko,sasa bila kuwa na mtu wao hapo wa kuzirudisha pesa walizotumia hakutakuwa na amani,solution ni kukuondoa kwa njia yoyote ile,au mkubaliane sasa mliibie taifa wote. Ole wako na chondechode hao jamaa ni Mafia Mob
Mbona ccm mnaumia sana lowasa kuhamia cdm??hakyamungu mmekuja kushtuka wakati ishafika jioni
Mzee Lowasa kama mzee wangu tuna toka njia moja nina kushauri achana na kuhama chama maana kwa hakika hutofanikiwa sana sana unajiandalia matatizo ambayo hata dkt wakukutibu hatokuwepo at that time.
kwa nini na sema hivyo nasema hivyo kwakuwa ukweli unaujuwa na mfumo wa serikali unaujuwa na kamwe serikali haiwezi kutengeneza watu wakushindana nayo sana sana nikukutengenzea zengwe zaidi ya lile la kwanza
1. Hafai
2. Hafai
3.Hafai
4 Hafai na NIMTU HATARI KTK SERIKALI
5.?
Soma vitabu vyote nasasa ni zaidi ya miaka hamsini ya uhuru wetu ni nani alie wahi kupingana na serikali akafanikiwa ukimpata nijuze nifute kauli
Nikupe mfano mdogo tu Mh Mrema yupo wapi mtu alie tikisa taifa hili kila mtu akajuwa hakuna kama mrema yupo wapi yupo wapi wapo wapi maadui wa ccm ndani ya ccm? achana na hii habari kuwa mpole Mungu akupenda utawale hili taifa na wala sio Kikwete maana hata Kikwete hakujuwa vile atakuwa rais ila ilijulikana atakuwa rais kama ilivyojulikana hutokuwa rais.
Simama na utafakari na uone maamuzi yako ni kiza kinene kwa familia yako na watu wako na ni jambo la busara kuwa mjinga nakuendelea kumuunga mkono mgombea alie pitishwa maana mwisho wa yote nilazima utahadhirika kias napata shida kama atakuwepo dkt wakukutibu madhara utakayo yapata.
Mungu anaupima utii wako ktk hili kabla ajashuka nakukwambia kwa makofi sikukuchaguwa wewe!!!!!
Hamna anayeumia nyie mnasema na sisi tunasema. Nasema tena chondechonde Lowassa utauawa na hao majambazi
Akitoka ndani ya CCM hata maisha yake siyo mbali kufika mwisho.
Halafu mimi sielewi kama walikuwa 38 akachaguliwa mmoja mbona hao wengine wote wameamua kukijenga chama chao hata kama kinaonekana kuwa na Siha mbaya mbele ya Hadhira?
Yeye ana kitu gani cha pekee alichonacho asichoweza kumshauri Magufuli kama ni kizuri kikafanyiwa kazi?mpaka atake kuingia ikulu mwenyewe?
Sasa ndiyo naelekea kuamini kuna kitu kimejificha moyo mwa Lowasa na siyo kizuri kwa Watanzania Lowasa atatugharimu.
Mtu mmoja alisema kuwa "Sumu hainjwi"ila huyu jamaa akihama na kwenda Upinza halafu Watanzania tukamchagua kuwa raisi tutakuwa tumeonja Sumu na kiukweli ukionja Sumu kuna matokeo ya kufa tu na utakufa tu maana hamna namna nyingine.
Lowasa anafahamu siri nyingi za wanaCCM na hasa vigogo na hakuna mtu wa kuthubutu kumsema kama yeye ni fisadi akabaki salama.Ni ndoto kwa watanzania kumchagua Lowasa kuwa rais wa nchi yao. Hao watu aliowapa pesa wampigie debe mara kwa vijana au boda boda ni wachache sana hawawakilishi watanzania hata chembe. Akitaka kujimaliza yeye pamoja na upinzani ajaribu kuingia upinzani. Mrema alipata wafuasi wakati ule kwa sababu kuna watu ambao moyoni mwao (labda kiusahihi au kimakosa) waliamini Mrema ni mchapa kazi mwenye nia nzuri na nchi hii. Ndio maana japo hakuondoka na viongozi wa serikali au CCM alipata sapoti ya hao wananchi walioamini uwezo wake. Ni tofauti sana na Lowasa. Yeye Lowasa anaondoka na sapoti ya viongozi walliopokea pesa kutoka kwake ili wamsapoti, haondoki na wananchi. Badala yake wananchi wanajua kuwa Lowasa ni fisadi asiyeitakia mema nchi hii. Sasa akiruhusu CCM nayo iingie katika kumtangaza kuwa ni fisadi ndio maana akaenguliwa basi itakuwa mwisho mbaya sana kwa Lowasa. Abaki tu CCM watamheshimu hawataanika uozo wake uliosababisha aenguliwe.
Mzee Lowasa kama mzee wangu tuna toka njia moja nina kushauri achana na kuhama chama maana kwa hakika hutofanikiwa sana sana unajiandalia matatizo ambayo hata dkt wakukutibu hatokuwepo at that time.
kwa nini na sema hivyo nasema hivyo kwakuwa ukweli unaujuwa na mfumo wa serikali unaujuwa na kamwe serikali haiwezi kutengeneza watu wakushindana nayo sana sana nikukutengenzea zengwe zaidi ya lile la kwanza
1. Hafai
2. Hafai
3.Hafai
4 Hafai na NIMTU HATARI KTK SERIKALI
5.?
Soma vitabu vyote nasasa ni zaidi ya miaka hamsini ya uhuru wetu ni nani alie wahi kupingana na serikali akafanikiwa ukimpata nijuze nifute kauli
Nikupe mfano mdogo tu Mh Mrema yupo wapi mtu alie tikisa taifa hili kila mtu akajuwa hakuna kama mrema yupo wapi yupo wapi wapo wapi maadui wa ccm ndani ya ccm? achana na hii habari kuwa mpole Mungu akupenda utawale hili taifa na wala sio Kikwete maana hata Kikwete hakujuwa vile atakuwa rais ila ilijulikana atakuwa rais kama ilivyojulikana hutokuwa rais.
Simama na utafakari na uone maamuzi yako ni kiza kinene kwa familia yako na watu wako na ni jambo la busara kuwa mjinga nakuendelea kumuunga mkono mgombea alie pitishwa maana mwisho wa yote nilazima utahadhirika kias napata shida kama atakuwepo dkt wakukutibu madhara utakayo yapata.
Mungu anaupima utii wako ktk hili kabla ajashuka nakukwambia kwa makofi sikukuchaguwa wewe!!!!!
Kama sio Hofu "Ebu tupia Hints na Ushahidi wa ufisadi wa Eddo Lowassa, ambao Unadhani Walioko CCM ni Wasafi. Jiongeze ndg yangu
ndani ya CCM Hakuna kitu kiitwacho Rushwa bali Takrima. Hakuna Msafi ndani ya CCM, Hiyo Tuhuma ya Richmond Haina Uhalisia na
Serikali nzima Ilikuja Kujua Tayari Imeingizwa Mjini.