Lowassa apigiwa saluti Kenya

Hata mimi namshangaa sana Kubenea alivyosema hasafishiki halafu yeye mwenyewe ndio sasa ameshika brush na sabuni,kweli adui yako muombee njaa
Hashafishiki sababu sio mchafu. Kinachosafishwa ni kichafu.
 
Teh teh teh teh....
 
Mchango wako ni upi Mkuu tuuchukue?
 
kwani tatizo ni nini?
hata huku kwetu kuna mgambo wa makampuni binafsi wanalinda Makanisa, Askari wa Tanzania ni kosa kuchanganya mavazi na kupiga saluti
Ushamba mwingine ndio huo huwezi kuwa Meja upige saluti pamija na Private ANAYEPIGA SALUTI HUWA NI MMOJA KM MPO WENGI NA AWE NA CHEO CHA JUU YA WENZAKE
 
kuwa ccm inabidi uwe na akili za ziada hivi nani hasiejua heshima lowasa aliyonayo hata hapa tz? Ije itokee mkutano wa lowasa na magufuri tuone mwitikio wa watu! Hii sio siri kila mmoja anajua nguvu ya lowasa ndani na nje! Ndo ukweli

usipine kona zungumzia mada iliyo jukwaani wewe mwenye akili timamu, mtu anapigiwa saluti nje ya kanisa na wanaompigia saluti unawaona zungumzia hilo, heshima kila mtu ana heshima yake, hata babu wa samunge pia anaheshimia sana tu
 
Mmh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…