Lowassa aongea na wamachinga Mwanza

Nilisikia kuwa lowassa atakuwa makoroboi nikaamua kupita nione,,bwana watu sio wengi ni kawaida tu,,,na raia wanaendelea na shughuli zao,,,so bado ana safari ndefu,,
 
Hana lolote mwizi mkubwa...hatujasahau unyama aliomfanyia Dogo janja....
 
Tatizo l Nchi hii sio pesa, bali ni kwa Serikari kutengenza mazigira mazuri ya biashara, ikiwemo kuweka sheria za kuzitaka taasisi za umma kununua bidhaa zinazo tengenezwa na wafanya biashrawdogo kama fanicha,

Hii nchi haiwezi endelea kwa Uchuuzi, na hakuna nchi hata moj Duniani inyo unga mkono uchuuzi, ila kwaiando serikari inafanya,

Hata wangepewa Bilioni 300 kama mazingira ya Biasara ni magumu hazitawasaidi Chochchote kile, ni kulaghai watu
 
Akigombea huyu jamaa atachafuka vibaya mno, alikuwa wazr alifisad leo aje kugombea urais, ni watanzania wangap wasiojua sifa zake chafu.Peopleeeeeeees......
 
Kuna haja ya kumshinikiza huyu fisadi ili atuambie majina ya hao rafiki zake wanaompa mamilioni ya pesa ili kutoa rushwa makanisani, misikitini na sasa kwa wamachinga. Usikute majina yote ni mafisadi.

lowasa ni mtu hatari sana kwenye jamii mbona huwa hawataji waziwazi hao marafiki zake ili tuwajue,na ni wawapi na wana agenda gani hasa.
 
Lengo lake siyo kusaidia bali kujitangaza kabla ya 2015. Anajua atapokezana kijiti na JMK.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums

Tatizo la kujua pesa ndio suluhisho la umaskini badala ya kazi. Wenzetu weupe hawatumii cash leo hii kila mtu angeingiziwa kwenye account na kupewa card. Anyway tutahakikisha elimu mnayopta ni bure kabisa ili muwe na kaili bure kabisa ili tuendelee kula kabisa.
 
Hivi ni kweli kuwa amezomewa na Wamachinga baada ya kushindwa kujibu swali aliloulizwa na mmoja wa chinga? Na kuamua kusitisha mkutano na kuahidi kuongea na viongozi wao ktk hotel ya New Mwanza?
 
charming lady; mkuu... Hapo kwenye red umechemka vibaya sana.... Naomba uedit.... Mathias manga sio mwenye gold crest na wala hayuko gold crest!!!!!

mathias manga ndiye anayeendesha gold crest hotel ni mali yake na kazi zote ispokuwa tu jengo ni la ppf
 
Hata nilipofuatilia story za chinga wenyewe nimegundua mzee anapoteza,kwani wengi wanaongelea ni jinsi gani watamchota pesa....waaala hawana mpango nae kivingine.
 
Umenena jambo la msingi nakupa heko. Kwa nini asichangie hizi hospitali, nyingine hata x-ray mashines hawana.

Shida ni upeo mdogo hasa kwa watu wenye akili kama yako, alipoanza harambea kanisani mlisema mdini, akaenda msikitini hamkuisha maneno lakin hakukata tamaa alieendelea kusaidia wakina mama mkasema 2015, sasa wamajinga anataka kuua chadema au hata angesaidie hiyo x-ray scan maneno hayataisha ndo sifa yetu watz "majungu".

Wangapi wanaiba katika taifa hili, migodi hailipi kopi na viongozi kibao wako kwenye madaraka na wengine wanautaka huo urais 2015 ila hata kuwahi saidia kijiji alichotoka hajawahi wengine hata familia zao binafsi zinawashinda ila ndo tunawaona wazalendo.. wengine wanaweka pesa Uswis na kwingineko ila kwetu si ishu hyo, ishu ni Lowassa anatoa sana msaada anautaka urais 2015!!!

Hivi ni wangapi kati yetu wenye moyo wa kutoa??? wangapi wanakwiba serikalin ila wanaishia kuhonga dada zetu na kuwaambukiza magonjwa??? huyu Lowassa hutamsikia akiwa bar wala hana anasa ni mtu mchapa kazi na busy na mambo yake na haiba yake toka ujana, sasa kwanin asitajirike katika taifa lenye rasilimali kama hili?? hivi kuwa tajiri na kusaidia ni dhambi???

Mbona Makufuli anayokashifa ya Nyumba, na zile bil.200 na kazaaa... ila mnamwona jembe?? Mwakyembe pamoja na kulitia taifa hasara la mabilioni ya shilingi kwa kutangulizia maslahi yake kisiasa na kuusahau uzalendo eti mnamwita leo jembe?? hivi wanastahili hilo jina kuliko Lowassa na Mrema ambaye mmekuwa mkimbeza??? najua kila mtu anamapungufu ila hii ni upumbavu na unafiki na si kingine.

Ushauri: Tuache unafki na chuki na unapoongelea mabaya na umaniskin wa tanzania si mtu mmoja aliyesababisha ila ni sera mbovu toka serikali ya kwanza na mfumo mbovu wa serikali yetu.
Ni bora huyo anayetoa alichochukua nacho kwani ni wa maana kuliko mimi na wewe... kwani matajiri, wanasiasa wangapi hawalipi kodi nchi hii na nini wamesaidia?? wasafi ni mimi na wewe ambao hiyo system tunaisikia tu ila siku tukiingia twaweza kuwa balaa kuliko waliopo.. leo vijana ndo wanaongoza wizi kwenye maofisi ya umma, hawaaminiki ila sisi sis tunaongoza kulalamika rushwa rushwa ila ndo watoaji na wapokeaji wakubwa.. shame on us!!!!!!!
 
go lake siyo kusaidia bali kujitangaza kabla ya 2015. Anajua atapokezana kijiti na JMK.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums


Duh hilo litakuwa janga lingine ikiwa watz watadanganyika...atakuwa "maimuna" mwingine wa ikulu baada ya hii aibu ya juzi mbele ya press conference za kimataifa
 
Aidha amesema yeye hana fedha ila ana ushawishi kutoka kwa marafiki.Amesema kula nilazima kwa kila moja ila tutatofautiana kula, kuna ambaye atakula muhogo na atakula mkate ila wote wale.

Huna hela ila una marafiki wenye hela?.....labda uwe mpambe!....na kumbe ni kweli anakula!
 
mkuu asante kwa taarifa , kwani leo alikuwa kanisa gani , kkkt au pentecoste ?
 
Ndio hali halisi iliyotokea katika eneo la makoroboi jijini mwanza wakati mheshimiwa Edward Ngoyai Lowasa alipokuja kuongea na wafanyabiashara ndogondogo jijini mwanza wamachinga ambao kwa sku za nyuma walkuwa kete ya mbunge wa nyamagana ezekiel wenje katka kukwaa ubunge wa jimbo la nyamagana(mwanza cty centre) ambao leo upepo umezdi kumwendea vzuri mheshimiwa lowasa baada ya kukarbshwa kuongea na wamachnga na kuendesha harambee ambapo muda wote wamachinga walkuwa wakikatsha hotuba ya Mh; Lowasa kwa kumuita RAIS, RAIS ,RAIS WETUU KWA KWELI LOWASA ANAIJUA SIASA LEO NMEMKUBALI HUYU JAMAA AMEGEUKA MFALME
 
pesa huwa ina nguvu ila ni kwa muda mfupi tu.
 
Kula ccm kulala chadema....lowassa endelea tu
 
wamachinga ambao kwa sku za nyuma walkuwa kete ya mbunge wa nyamagana ezekiel wenje katka kukwaa ubunge wa jimbo la nyamagana(mwanza cty centre) ambao leo upepo umezdi kumwendea vzuri mheshimiwa lowasa
Kwa hiyo Lowassa nategemea kuishi Mwanza au atarudi jimboni mwake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…