tumaini obedi
JF-Expert Member
- Jun 17, 2013
- 340
- 190
Ndio hali halisi iliyotokea katika eneo la makoroboi jijini mwanza wakati mheshimiwa Edward Ngoyai Lowasa alipokuja kuongea na wafanyabiashara ndogondogo jijini mwanza wamachinga ambao kwa sku za nyuma walkuwa kete ya mbunge wa nyamagana ezekiel wenje katka kukwaa ubunge wa jimbo la nyamagana(mwanza cty centre) ambao leo upepo umezdi kumwendea vzuri mheshimiwa lowasa baada ya kukarbshwa kuongea na wamachnga na kuendesha harambee ambapo muda wote wamachinga walkuwa wakikatsha hotuba ya Mh; Lowasa kwa kumuita RAIS, RAIS ,RAIS WETUU KWA KWELI LOWASA ANAIJUA SIASA LEO NMEMKUBALI HUYU JAMAA AMEGEUKA MFALME
Katika mukutano huu wa leo ulikuwa vitu kwa khari fulani, kituko kimoja achacho na kikumbuka , aliyemukaribisha amesema ndugu muheshemiwa karibu ujaribu kuongea na wa mashichinga hawa , kitu ambacho kimefanya watu wacheke sana.
Ndipo akaanza hotuba yake ndungu wananchi naomba nijaribu kusema, kwanza kbs leo ashn kuna gazeti moja limesema Lowassa aenda Mwanza kuivunja CHADEMA, CHADEMAwajivunja wewe.
Ilani ya CCM inasema vijana wataandaliwa kwa ajili ya saccos na hiki ndicho kimenileta kwenu.
Aidha ametoa tsh, milioni ishilini, na akaahindi kurudi kufanya changizo babu kubwa lengo nitakuwa kupata bilioni moja.
kuna kamati tiyari ameitaja ya kufanya mandalizi
NDUGU, CHEGENI mwenye isamilo lodge hapa Mwanza.
" MANSOR mbunge wa Kwimba.
" MATHIAS MANGA mwenye gold crest hotel hapa Mwanza
Aidha amesema yeye hana fedha ila ana ushawishi kutoka kwa marafiki.
Amesema kula nilazima kwa kila moja ila tutatofautiana kula, kuna ambaye atakula muhogo na atakula mkate ila wote wale.
katika maisha yako usiruhusu mwanasiasa apenyeze porojo. kuwahadaa vijana.Tuelezee muitikio wa wamachinga na kwa kiasi gani hizo milioni ishirini itaweza kuwasaidia kuwakwamua kama sio kuwanunua kama peremende
Katika mukutano huu wa leo ulikuwa vitu kwa khari fulani, kituko kimoja achacho na kikumbuka , aliyemukaribisha amesema ndugu muheshemiwa karibu ujaribu kuongea na wa mashichinga hawa , kitu ambacho kimefanya watu wacheke sana.
Ndipo akaanza hotuba yake ndungu wananchi naomba nijaribu kusema, kwanza kbs leo ashn kuna gazeti moja limesema Lowassa aenda Mwanza kuivunja CHADEMA, CHADEMAwajivunja wewe.
Ilani ya CCM inasema vijana wataandaliwa kwa ajili ya saccos na hiki ndicho kimenileta kwenu.
Aidha ametoa tsh, milioni ishilini, na akaahindi kurudi kufanya changizo babu kubwa lengo nitakuwa kupata bilioni moja.
kuna kamati tiyari ameitaja ya kufanya mandalizi
NDUGU, CHEGENI mwenye isamilo lodge hapa Mwanza.
" MANSOR mbunge wa Kwimba.
" MATHIAS MANGA mwenye gold crest hotel hapa Mwanza
Aidha amesema yeye hana fedha ila ana ushawishi kutoka kwa marafiki.
Amesema kula nilazima kwa kila moja ila tutatofautiana kula, kuna ambaye atakula muhogo na atakula mkate ila wote wale.
Katika mukutano huu wa leo ulikuwa vitu kwa khari fulani, kituko kimoja achacho na kikumbuka , aliyemukaribisha amesema ndugu muheshemiwa karibu ujaribu kuongea na wa mashichinga hawa , kitu ambacho kimefanya watu wacheke sana.
Ndipo akaanza hotuba yake ndungu wananchi naomba nijaribu kusema, kwanza kbs leo ashn kuna gazeti moja limesema Lowassa aenda Mwanza kuivunja CHADEMA, CHADEMAwajivunja wewe.
Ilani ya CCM inasema vijana wataandaliwa kwa ajili ya saccos na hiki ndicho kimenileta kwenu.
Aidha ametoa tsh, milioni ishilini, na akaahindi kurudi kufanya changizo babu kubwa lengo nitakuwa kupata bilioni moja.
kuna kamati tiyari ameitaja ya kufanya mandalizi
NDUGU, CHEGENI mwenye isamilo lodge hapa Mwanza.
" MANSOR mbunge wa Kwimba.
" MATHIAS MANGA mwenye gold crest hotel hapa Mwanza
Aidha amesema yeye hana fedha ila ana ushawishi kutoka kwa marafiki.
Amesema kula nilazima kwa kila moja ila tutatofautiana kula, kuna ambaye atakula muhogo na atakula mkate ila wote wale.
Kwanini asifanye changizo kama hilo ili kuwezesha hospitali kama MNH,KCMC,BMC,Mbeya hospital ziweze kupata CT scan kama kweli yuko na nia ya dhati kusaidia Watanzania

lowasa ni mtu hatari sana kwenye jamii mbona huwa hawataji waziwazi hao marafiki zake ili tuwajue,na ni wawapi na wana agenda gani hasa.
Umenena jambo la msingi nakupa heko. Kwa nini asichangie hizi hospitali, nyingine hata x-ray mashines hawana.