johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 94,035
- 164,304
Tathmini inaonyesha kwa sasa nguvu ya upinzani imebakia CHADEMA tu baada ya CUF, NCCR na ACT kupoteza dira na mwelekeo.Ndio kusema CHADEMA yenyewe iko mikononi mwa Lowassa na hata ukiangalia matendo na matamko yake kwa sasa yanathibitisha hilo.
Endapo wale wanaoitwa wasaliti watashindwa kuzolewa na wimbi la mabadiliko ya katiba basi kuna uwezekano laigwanan Eddo kurejea ktk chama chake cha zamani kwenda kuleta mshikamano na hapo ndipo CCM mpya isiyo na makundi tutaiona.
Ikumbukwe ujio wa Eddo CHADEMA ulikuwa ni mahsusi kwa ajili ya urais kama ilivyokuwa kwa Duni Haji wa CUF. Kwahiyo ni lazima siku moja atarejea nyumbani na inawezekana siku hiyo imekaribia.