Lowassa anaumwa Parkinson's disease, urais atauwezaje?

Status
Not open for further replies.
Ccm ni genge la wachawi linalo aribu akili za vijana wa ccm kuwafanya wawe mazuzu!
 
Tumekusikia nyumba ndogo wa laigwanani,sasa endelea kufua nguo za mzee,kumbuka kuchukua tahadhari maana mzee alimficha mama kuwa ana nyumba ndogo,sasa wewe umeshindwa kutunza siri.Angalia usije ukapewa kibuti na mzee,ukaanza kutupa shida mjini.Ni hayo tu.

Huyo ndio Jose Mihogo kama ulikuwa hujui
 
Magufuli jee atarudi kwa babu wa loliondo?
Hata mgombea wetu wa Ukawa alikwenda kwa babu na akatutangazia kuwa anawalipia nauli wapiga kura wake wa mondulii ili wapate dozi. Au ulikuwa bado chekechea hukuweza kufuatilia
 
Kwa vili mana muombe ugonjwa mzee huyu ambaye ni mtanzania mwezetu. Na mm nitamwomba mungu wangu awape wote cancer ya damu na mfe kable yake. Amen
 
Zipo tetesi kuwa Mgombea urais kwa tiketi ya Ukawa ataenda kesho Ujerumani kutokana na Afya yake kuendelea kudorora. Taarifa hiyo inasema kuwa atakaa kwa ajili ya matibabu kwa siku zisizopungua 37. Kama hii ni kweli sisi wana Ukawa tutakuwa kwenye hali ngumu kikampeni kueleka Magogoni. Kama ni kweli afya ya kiongozi wetu iko hivyo ni bora akajiangalie kwanza kwani Team yetu ya Ushindi chini ya Lisu na Sumaye iko imara. Mwenye uhakika zaidi naomba atujuze.

Na wewe unapelekwa wapi?
 
Haina shida. Kibaki aliaoishwa akuwa kwenye wheel chair. Aende arudi aingie magogoni ili tuone matunda ya mchina

Tafautisha maradhi, kibaki alipewa ajali ya gari akaumia mguu. Lowassa maradhi yake inaonyesha ni makubwa sana.
 
Nakubaliana na Muandishi kua wakati Edo ni waziri mkuu alikua na uwezo mkubwa na wengi tuliona alipokua akiwakimbiza mchakamchaka wakurugenzi na wafanya kazi wengine, alikua ana afya iliyo imara ndio maan allimudu kutafanya yote yale. Ila ni ukweli kua hata sasa kua afya yake haiko viuri hata kidogo kwani ni kitu ambacho huwezi kukificha tena, tumeona mengi ambayo yanathibitisha hili.

Upande wa pili tunamtu ambaye alivyo sasa hivi ni sawa na magufuli alivyokua 2006, Kwa vile edo hawezi tena kuimudu hii nafasi kwa sasa hatutakiwii kumlazimisha kuifanya, Tumchague aliekwenye uwezo wa kuifanya na mwenye nia na utayari wa kuifanya kazi hii. Magufuli tumemuona akifanya alipokua waziri, hili ni kielelezo tosha kwamba anaweza na yuko tayari, aliichukua fomu kwa kua alikua na nia ya dhati ya kuliongoza tifa hili na kuliletea maendeleo
 
Nitajiwe 1st 11 ya chadema ikiwa lowassa atashinda! Waziri mkuu atakuwa nani wizara ya fedha nani! Nishati na madini nani! Elimu na mafunzo ya ufundi nani! Ujenzi nani! Uvuvi! Nk..... Maana kila nikiyawaza hayo huwa naona kama ni maigizo kabisa

Huoni maigizo ya kuwa na Chenge waziri kwenye serikali ua Magufuli?
 
Yametimia,hali ya kiafya ya mgombewa wa Ukawa kupitia CDM sasa ni wazi ni dhoofu sana.Tokakampeni zianze yamejitokeza matukio mengi yakuashiria mgombea huyo hali yakekiafya si shwari kama vile kushindwa kupanda jukwaani kule Singida, Kuhutubiadakika 3 tu Dodoma na Sumaye kumtetea anaumwa Malaria, kushindwa kutoa SautiSimiyu na Sumaye kuokoa jahazi, kuruhusu haja kubwa kutoka bila kujitambua kuleGeita eneo la stendi kiasi cha mkutano kuvunjikasasa na jana ameshindwa kuendelea na mikutano ya kampeni wilaya ya Tunduru kwasababu hali ilikuwa tete.
Habari toka moja yaviongozi wa juu wa UKAWA wameeleza kuwa ukweli hali hiyo inawatia mashaka namuda wowote mgombea wao anaweza kusafiri kwenda Ujerumani kwa matibabu lakiniakagusia kuwa kwa hali ilivyo inawezekana Think tank ya UKAWA ikakutana mudawowote wiki hii.Ilitubidi tumtafute Dr.Anton Mvungi wa Hospital ya AghaKhan ambaye alitueleza Lowassa kama si mkwelina itamgharimu sana kwani anaugua PARKINSON.
Amesema ugonjwa huu una dalili kama vile viungo vya mwili kama mikono,vidole namiguu kutetemeka,Misuli kulegea,mwili kukamaa na hivyo kutembea hatuandogondogo na polepole bila mikono kuchezesha mikono, ubongo kupotezauwezo,Uwezo wa kufanya kazi kushuka, kuwa na hisia/maono yasiyo sahihi,kupoteza kumbukumbu, sura kupoteza muonekano wake halisi na sauti kuwa ndogoinayosikika kwa taabu.

Hivyo ifahamike ugonjwa sio sababu ya mtu kunyimwa kazi ila kwa aina ya ugonjwaanaogua Lowassa anapaswa aachwe atulie aitunze afya yake. DRC iliwapoteza LevyMwanawasa na Michael Satta kwa ugonjwa kama huu wa Lowassa.

Hili limekuwa pigo jingine baada ya lile la matajiri kujiondoa kumchangiaLowassa baada ya kumuona Live mlimani City juzi pamoja na mapokezi anayoyapataMAGUFULI Mikoani yamewavuruga.

Tuwe wazalendo kwa nchi yetu tumchague mchapakazi aliye imara kiafya.

CHAGUA MAGUFULI..NI MCHAPAKAZI NA MUADILIFU
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom