Lowassa anaumwa Parkinson's disease, urais atauwezaje?

Status
Not open for further replies.
We sinda acha ujinga mficha maradhi kilio kitamwuumbua hatuwezi kunyamaza wakati jamaa anatembea mikono hawezi kuitupa mbele wala nyuma huo ugonjwa hautibiki Tanzania
 
kuna mmoja ana ukoma umemuharibu uso,sasa sijui ukoma ukianza kuondoa vidole kimoja kimoja,atakuwa anasaini vipi documents
 
Nimehama TeamLowassa kutokana na ukweli kwamba kuna mengi yamefunikwa ambayo wengi wa mashabiki hawawezi kuona Ila kiukweli hilo la ugonjwa sio la kweli na niwaambie tu ugonjwa wake sio big deal ukilinganisha na what's behind the scene. Yani tunakaa kujadili ugonjwa wa Lowassa?

Kwanza sio kweli kwamba Dr wa Lowassa ataweza kutoa taarifa kuhusu mgonjwa wake. Kuwaza hivyo tu na kudhani watu humu watakuamini ni wazi kuwa umetudharau wanaJF. Daktari wa Ujerumani atoe taarifa za mgonjwa? Upuuzi huo.
Kasema anatania, soma vizuri acha kurukia vitu
 
Narudia tena, Ikulu sio wodi ya wagonjwa! Jambazi sugu na fisadi papa lowasa kamwe hawezi kuwa rais wa tz.
Uwezo wake ni kuongoza ng'ombe sio watu!
 
"Kila auwaye kwa upanga naye atauawa na upanga"...Hayo si maneno yangu ni maneno yaliyomo kwenye vitabu vitakatifu.Yapo yaliyosemwa kwamba Mwalimu Julius Nyerere aliwekewa sumu iliyommaliza na kwamba mpango huu ulifanywa na kikundi cha "wataka ukubwa" fulani.Sasa kama ndivyo ilivyo, baada ya kifo cha Mzee huyu,tumeshuhudia ulafi na mpasuko mkubwa ikipelekea baadhi ya mawaziri kumwagiwa ----- mbaya (Mwakyembe na wengine)!Ile laana ya kuuwa inaendelea kuwatafuna wahusika.Nimezungumza kiutu uzima hapa.Kwa macho ya kawaida kuna watu kiukweli wanaonekana ni wagonjwa ila wanajitahidi kujitutumua na kudai ni wazima.Wanasahau kwamba dunia haina siri.Wanaficha moto wakati moshi unaonekana.Kila mmoja atavuna alichopanda.Mwenye masikio na asikie....
 
Nishajua we ni masikini mmoja wapo ndo mana wapiga kelele.
Hapa anaongelewa Lowasa wewe wasemea Chenge.[/QUO
Ww unashabikia wizi na utajiri wa wizi ka Lowasa anavyowapenda Karamagi Rostam Mengi Tibaijuka wote unawajua sifa zao.nawee ni mmojawapo au watokea Richmonduli
 
Utafiti wa hivi karibuni unaonyesha kwamba Tanzania inaongoza Africa kwa siasa za maji taka...
 
Sitaki kuamini kama serikali ya CCM,haiyajui haya.Na kama akipitishwa na CCM basi wote tutakuwa ni matatizo.Tusubiri tuone hatima ya chama lkn hata mimi safari ya matumaini siioni.Kuna mtu humu amecomment ya kwanza Raisi ni speech tu ndo inamatter hata akiwa ICU lkn kama anaweza kuongea hakuna tatizo.Mi nafikiri hili ni wazo la kishabiki zaidi ila sioni mantiki ya mtu aliyecomment hivyo.
 
Watu wakiishiwa na hoja wanayazua mengi sana. Hiki ni kipindi ambacho watu watz wengi wanaweka akili zao mifukoni na kutumia hisia. Watoa mada angalieni sana maana uongo unakolezwa walioweka akili mifukoni wanaweza wanaweza kuunga mkono tu, ndio akili akili si wameweka mfukoni.
 
Wakuu nawaombeni sana tujaribu kujadili hoja kwa manufaa ya nchi yetu na wala si kutumia lugha au ugonjwa wa mtu kudhalilisha utu wake. Ni vyema tukawa mstari wa mbele kuangalia kama watanzania tunahitaji raisi wa namna gani? Naamini kama afya ni kigezo wapo viongozi wengi wangeshaondolewa katika nafasi zao. Naamini pia CCM ina mchakato wake wa kuchuja wagombea ili kumpata anayestahili kwa nafasi adhimu ya nchi yetu. Tuondoe chuki, matusi na lugha dhalili na tuheshimu utu wa mtu.
 
mbona CCM wanumwa wote: Makamu wa rais km teja miaka yote km anasikia baridi,na anvyoongea km anachelewa sikia sauti yake km imetoka ili aendelee mbele,sumaye nae km kapona ,mwandosya hakuja haja ya kusema,
vp dada zako na mama zako kule ROMBO bado wanavuka mpaka kwenda kupata huduma za jando upande wa pili??
pole sana BAVICHA FANATIC.
naona kwa sababu ya ukabila na ukaskazini, hata akiguswa LOWASSA wewe mbavu zinakutekenya. nikuhakikishie tuu, hata mzikiri uchi huyo mamvi haigusi ikulu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom