Lowassa anaruhusiwa kusaini Petition ya Zitto?

Kama kasaini Mkono ambaye yumo kwenye" list of shame" kaitwa shujaa na watu wamesahau kama alipwa na BOT dola 998,000.

Lowassa nae akisaini ataitwa shujaa kachagua upande wa historia.

Mkono ni mjumbe wa NEC na pia alipitishwa na CCM kuwa mgombea wa Musoma vijijini. Anachofanya Zitto ni kukusanya saini halali za wabunge wa bunge la Jamhuri ya Tanzania. Na Mkono ni mbunge kamili thanks to CCM 'ethics'. Kusukuma huu mzigo kwa CHADEMA ni kusahau mzigo ulifikaje hapo ulipo!
 
Hoja yangu hapa ni kwamba kila siku tunawaita hawa wabunge wa CCM kwamba wote ni mafisadi. Ritz ana hoja ya msingi kama Mkono yumo kwenye "LIst of shame" leo anakuwa msafi kwa sababu tu Zitto anataka saini? Mimi nadhani kuanzia hapa tuwe tunajadili hoja zenye mashiko badala ya kushambulia watu!!
 
Nimeona wabunge wa CCM (8) waliosaini kwenye ombi la Zitto atakaloliwasilisha kesho kutaka Waziri Mkuu wa Tanzania apigiwe kura ya kutokuwa na imani naye, wanapongezwa.

Swali langu kwa wana jamvi wenzangu na Lowassa naye akisaini ataonekana shujaa au ataonekana mlipa Kisasi? Na Zitto amruhusu Lowassa kusaini au asimruhusu? Kwa sababu baadhi ya wabunge waliosaini na kuonekana mashujaa ni walewale miezi kadhaa iliyopita tulikuwa tunawacharura humu ndani kwamba ni "wezi" "mafisadi" na watu wanaolipwa fedha zetu bila ya kufanya kinachotakiwa.

Kila siku tunasema kwamba ndani ya CCM hakuna msafi hata mmoja wote ni mafisadi, Leo inakuwaje Filikudnjombe awe shujaa wakati anatoka CCM?

huu ushujaa wa filikunjombe unatoka wapi zaidi ya kujisafisha.. Maana system nzima ya chama chake iko corrupted...
 
Hapo ndipo hoja yangu ilipo ndugu yangu.Tunachotakiwa kufanya ni kuwajumlisha (generalize) wana CCM wote kwamba ni wachafu au tukubali kwamba kazi ya kuijenga nchi si kazi ya kuibomoa CCM hivyo wapo wana CCM ambao pia wanaweza kutusaidia kujenga Tanzania yenye neema!!
 
Nimeona wabunge wa CCM (8) waliosaini kwenye ombi la Zitto atakaloliwasilisha kesho kutaka Waziri Mkuu wa Tanzania apigiwe kura ya kutokuwa na imani naye, wanapongezwa.

Swali langu kwa wana jamvi wenzangu na Lowassa naye akisaini ataonekana shujaa au ataonekana mlipa Kisasi? Na Zitto amruhusu Lowassa kusaini au asimruhusu? Kwa sababu baadhi ya wabunge waliosaini na kuonekana mashujaa ni walewale miezi kadhaa iliyopita tulikuwa tunawacharura humu ndani kwamba ni "wezi" "mafisadi" na watu wanaolipwa fedha zetu bila ya kufanya kinachotakiwa.

Kila siku tunasema kwamba ndani ya CCM hakuna msafi hata mmoja wote ni mafisadi, Leo inakuwaje Filikudnjombe awe shujaa wakati anatoka CCM?

Mheshimiwa Lowasa ni Mbunge na ni Mtanzania. Ana dhambi fulani fulani machoni mwa Watanzania. Siku akifanya jambo jema tutamsifu kwa hilo ila hatafutiwa dhambi yake hadi hatua stahiki zitakapochukuliwa dhidi ya dhambi hizo. Itafurahisha hata yeye akisaini na kuwezesha uwajibikaji uchukue mkondo wake. Na huko ndio kuanza kutubu na kujuta kuliko anavyo hivi sasa, hangaika na kuchangia mamilioni ya fedha kwa makanisa.
 
nasubiri majibu yako mkuu

Mkuu Ruhazwe JR,
Hakuna ubaya wowote Lowassa kusaini kama Mtanzania hana haki yake ya kuipigania nchi yake kutoka kwenye viongozi wabovu.

Ukiangalia hili suala Waziri Nundu na Naibu wake Mfutakamba na Waziri Chami na Naibu wake Nyalandu pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS), Charles Ekelenge.

Kupitia (CAG) kwa kweli kusaini ni haki yake hawa viongozi wamefanya madudu sana kwe utendaji wao.
 
Nimeona wabunge wa CCM (8) waliosaini kwenye ombi la Zitto atakaloliwasilisha kesho kutaka Waziri Mkuu wa Tanzania apigiwe kura ya kutokuwa na imani naye, wanapongezwa.

Swali langu kwa wana jamvi wenzangu na Lowassa naye akisaini ataonekana shujaa au ataonekana mlipa Kisasi? Na Zitto amruhusu Lowassa kusaini au asimruhusu? Kwa sababu baadhi ya wabunge waliosaini na kuonekana mashujaa ni walewale miezi kadhaa iliyopita tulikuwa tunawacharura humu ndani kwamba ni "wezi" "mafisadi" na watu wanaolipwa fedha zetu bila ya kufanya kinachotakiwa.

Kila siku tunasema kwamba ndani ya CCM hakuna msafi hata mmoja wote ni mafisadi, Leo inakuwaje Filikudnjombe awe shujaa wakati anatoka CCM?

watu wana-sign hii petition for a cause nayo ni kuleta uwajibikaji! Hata wenye tuhuma za ufisadi nao wanaruhusiwa kusaini maana kutowajibika kwa hili baraza la sasa kunaadhiri kila mmoja wetu hata wale wenye tuhuma!
 
Leo angalau amepatikana mtu ameongea Lugha ya kiungwana. Hawa wote wametuhumiwa lakini hawajathibitka kama ni wahalifu!!
 
Nimeona wabunge wa CCM (8) waliosaini kwenye ombi la Zitto atakaloliwasilisha kesho kutaka Waziri Mkuu wa Tanzania apigiwe kura ya kutokuwa na imani naye, wanapongezwa.

Swali langu kwa wana jamvi wenzangu na Lowassa naye akisaini ataonekana shujaa au ataonekana mlipa Kisasi? Na Zitto amruhusu Lowassa kusaini au asimruhusu? Kwa sababu baadhi ya wabunge waliosaini na kuonekana mashujaa ni walewale miezi kadhaa iliyopita tulikuwa tunawacharura humu ndani kwamba ni "wezi" "mafisadi" na watu wanaolipwa fedha zetu bila ya kufanya kinachotakiwa.

Kila siku tunasema kwamba ndani ya CCM hakuna msafi hata mmoja wote ni mafisadi, Leo inakuwaje Filikudnjombe awe shujaa wakati anatoka CCM?

Kwa phenomenon nilizozizoea mtu akiishi katika kaya ambayo ni wachawi..........huwa termed kuwa nyumba ile ni wachawi. Huwa ni ngumu kumtenganisha japokuwa tumeona mmoja kati ya family members kutoka familia ya wachawi akiokoka na kuenenda kinyume na familia yake. Ndio maana hata kwenye research kuna kitu kinaitwa "aukward case" yaani unakuwa hutegemei..........na swali lako unaloliuliza nimewahi kulitengenezea hypothetical syllogism wakati nimeandika makala na nikapost video kuhusu JK na dowans.......mara anaonekana anaikana mara naoneka anawafahamu kwa kuwa alimzuia Lowassa asisitishe mkataba wao.

Kwa tabia hii mkuu wa kaya anapokuwa kigeugeu ni ngumu kuwaamini wafuasi wake.......tutawaamini pale watakapojipambanua wazi kuwa wao ni tofauti. Ukishangaaa ya kusema kwamba ccm wezi na mafisadi kumbe sio utafanyaje kuhusu mkanganyiko wa kauli katika serikali ya JK? Hata kitu kikiibiwa darasani mwalimu hutishia kupiga darasa zima ndipo asiyekubali kuonewa humtaja mhusika hii ni hali ya kawaida. Kama kilichokuwa kinasemwa kuwa ccm wezi, mafisadi hakikuwa na ukweli wowotw, ni kesi ngapi za uzalilishaji zimefunguliwa......hali na hoja tulizozizoea Tanzania unapozishangaa sasa mie nakushangaa. In short we mama umekosa pa kutokea baada ya madudu kuanikwa na wahusika ni hao hao ccm sasa unaacha kuweka analysis yako kuhusu wizi unaoendelea unabase kwenye weak analysis ili ulazimishe kusikia "what your ears has always wanted to hear"

Ili kuiridhisha nafsi yako na masikio yako nasema hivi sasa " CCM wote sio mafisadi kuna baadhi wanamoyo wa dhati kuipigania nchi hiii.........tatizo ni kuwa walipo wako nyumba moja na wezi na mafisadi" nadhani kauli hii haijawahi kutajwa hapa JF. Kama ilishatajwa basi isikie na leo tena ili nafsi yako iendelee kufurahi. Vinginevyo achana na argument ambazo ukitaka tu prove ukigeugeu wa wa hoja za CCM utakosa cha kusema.
 
Mkuu Ruhazwe JR,
Hakuna ubaya wowote Lowassa kusaini kama Mtanzania hana haki yake ya kuipigania nchi yake kutoka kwenye viongozi wabovu.

Ukiangalia hili suala Waziri Nundu na Naibu wake Mfutakamba na Waziri Chami na Naibu wake Nyalandu pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS), Charles Ekelenge.

Kupitia (CAG) kwa kweli kusaini ni haki yake hawa viongozi wamefanya madudu sana kwe utendaji wao.

Ritz wewe ndo kusema kweli kwa kauli hii unaonekana objective. Una uchungu na raslimali za Watanzania. Taifa kwanza chama baadae. Mama Kigarama yuko ki chama zaidi. Tatizo ni kuwa mama Kigarama anataka ku nullify kauli kuwa CCM wote sio wasafi............hilo tu ndo linamuuma na mie nishampoza. "CCM wote sio wachafu kuna baadhi ni wasafi" this is what Kigarama wants to hear in her ears.
 
Wakati Zitto akitoa mada yake alihitimisha kwa wabunge wote kuacha itikadi ya vyama VYAO NA WAWE WAZALENDO KWA Tanzania. Kwa msingi huo kwa kuwa EL ni mbunge na ametakiwa asiweke itikadi ya cha chake basi anayo haki kama mbunge kusaini karatasi ya Zitto.
 
Ritz wewe ndo kusema kweli kwa kauli hii unaonekana objective. Una uchungu na raslimali za Watanzania. Taifa kwanza chama baadae. Mama Kigarama yuko ki chama zaidi. Tatizo ni kuwa mama Kigarama anataka ku nullify kauli kuwa CCM wote sio wasafi............hilo tu ndo linamuuma na mie nishampoza. "CCM wote sio wachafu kuna baadhi ni wasafi" this is what Kigarama wants to hear in her ears.
Muganyizi kwa nini unang'ang'ania kwamba mimi ni "mama" wakati nilishakwambia kwamba mimi ni mwanaume? Halafu kuhusu hoja ya U-CCM mimi siko kuitetea bali kuutetea ukweli na mara zote huwa nasimama upande wa wachache kwani nao huwa wana hoja lakini wanadharaurika. Kati ya watu wanaotaka CCM iondoke madarakani mimi ni mmoja wapo tena siyo leo bali tangu zamani, lakini inaondokaje ndiyo napishana na watu wengine humu ndani!!
 
That is just a start, we have to thinks more beyond, kilichopo sasa ni kuwasilisha mswaada ukipita tunakazi ya kupiga kura ya siri kuntoa prime minister, hapo utaona tunahitaji more than kura 70, je yupi atapiga bado tunaimani tutapata wafuasi wengi wa ccm wataunga mkono, si lazima ujaribu ku air out kila kitu, bado katika hili we realy need support ya wabunge wengi na sivinginevyo, lets not disapoint wale ambao hawaja saini tunanaimani watapiga kura kwa kua sio zile za wanaosema ndiooooo waseme ndioooooo na wanaosema hapana waseme hapaaaaaaa: kwa sasa hatuhitaji kuwawajibisha wale mawaziri 7 ama 8 badala yake baraza zima la mawaziri, kama waziri mkuu angekua strong matudu haya yasingekuwepo hivyo tunahitaji baraza jipya litakaloundwa na new prime minster na liwe bora kuliko hili,tunakazi kubwa mbele yetu kupendekeza yupi rais amteue kuwa waziri mkuu badala ya washauri wake kwa kua wangekua wasafi wangependekeza baraza jipwa tunamfano wa tume ya katiba why are we all happy, yes we can tujaribu kupendekeza kama tulivyofanya kwa tume ya katiba
 
nimegundua ww ungekuwa raisi wachache wangepata haki zao, tena wale tu wanaokubaliana na wewe. at ths point as a nation we are nt suppozd 2 hv parmanent friend or enemy. atakaethibitika msafi tutampokea na wale wa kwe2 watakaoonesha uchafu wowote wataoneshwa mlango wa kutokea. tht shld b the spirit.
 
Let majority have their way, but minority have their say!! Mimi nakubaliana na maamuzi ya wengi lakini huwa naamni kwamba hata wachache huwa wana hoja. Sisi tulioshiriki kwenye mchakato wa kutoa maoni yetu kwenye tume ya Nyalali tunakumbuka ni asilimia Ishirini (20%) tu ya watanzania walisema kwamba wanataka tuwe na mfumo wa vyama vingi. Jee ilisikilizwa asilimia 20 au ile 80 iliyokuwa inakataa vyama vingi?
 
Muganyizi kwa nini unang'ang'ania kwamba mimi ni "mama" wakati nilishakwambia kwamba mimi ni mwanaume? Halafu kuhusu hoja ya U-CCM mimi siko kuitetea bali kuutetea ukweli na mara zote huwa nasimama upande wa wachache kwani nao huwa wana hoja lakini wanadharaurika. Kati ya watu wanaotaka CCM iondoke madarakani mimi ni mmoja wapo tena siyo leo bali tangu zamani, lakini inaondokaje ndiyo napishana na watu wengine humu ndani!!

Kwani hakuna picha ya Mwanaume Masai..........mpaka uweke hiyo avatar.....mie nitaamini we Mwanaume Ukibadili hiyo avatar........
 
Kusaini najua hawezi ila anatamani asaini, ila saini yake anaweza hata kuhonga wabunge wenzie wasaini, ila siku ya kupiga kura kama itatokea atatamani achakachue kwa kupiga hata kura ishirini ila atapiga kura moja tu ya kumpiga chini "the peasant's child" kwa sababu kura ni siri ya mtu mmoja
 
Kwani hakuna picha ya Mwanaume Masai..........mpaka uweke hiyo avatar.....mie nitaamini we Mwanaume Ukibadili hiyo avatar........
Ta Muganyizi Sababu ya kutumia hiyo Avatar nilishatoa na siwezi kuilbadili ili nionekane "mwanaume", mimi ni mwanaume hata bila ya kuibadili Avatar yangu.
 
Back
Top Bottom