Lowassa amuonya Uhuru Kenyatta

Hata last election ilikuwa hivi hivi lakini akashinda, tena kwa kishindo au ni mambo ya technology?
Uliona gap aliyoshinda??? Tena kama sio kuzima ile mitambo odinga alikuwa anaenda kubeba ndooo sema wlaivyozima vifaa vya electronic ndipo walipopata mwanya wa kubadilisha matokeo otherwise oding anaungwa mkono na makabila makubwa sana kenya na hta ukiangalia chama chake cha ODM ndio chama kikubwa zaidi kuliko vyote kenya ssa iweje aanguke tena na mtu asiye na uzoefu wa siasa kma kenyatta??
 
Kumwangusha uhuru sio rahisi, siasa za kenya ni tribal so let's look at the tribal arithmetic.
Uhuru anatoka jamii ya kikuyu kabila ambalo ni kubwa kuliko zote na hii kabila inajulikana kwa kupiga kura as a bloc.
Makamu wa rais ni William ruto kabila ya kalenjin huyu jamaa is just a heart beat from the presidency ingawa kuna isaac ruto toka kabila hilo hilo ambaye ameasi na kujiunga na raila hataweza sababu anagombea u gavana wa bomet so pamoja na kuwa yupo na raila as equal principle hawezi kwenda zaidi ya kuwa gavana.
So the question is, wa kalenjin watampigia kura William ruto au isaac ruto? jibu langu William ambaye yupo karibu na urais atavuta kura za kabila lake.
Kalonzo musyoka a.k.a water melon huwa hana msimamo his foot soldiers wameasi even his most royal mps say he was shortchanged by raila, na wambunge zaidi ya 6 kutoka his own backyard wapo na uhuru. So kambas will not vote as a bloc for kalonzo.
Musalia na wetangula kwao kuna voter apathy, wa luhya walitegemea musalia awe flagbearer so wanaweza react.
Lastly kenyatta a nategemea development record, na standard gauge railway inaanza 1st June only 2months to the elections. Shida kubwa kwa uhuru ni corruption kwenye serikali yake but how do they know raila hatapata hiyo shida coz sio uhuru au raila it's their inner people who are corrupt.
Raila kalonzo ni team ya 2013 so voters would have wished to see new face on the ballot, that's why I think uhuru atarudi tena pia kwa sababu of him being social and down to earth president. But it's up to the Kenyans to decide.
 
Lowasa haeleweki...juzi juzi hapa Tanzania daima lilimnukuu kuwa yeye niTeam Odinga.
Leo kawa Rafiki wa Uhuru...yote hii anataka kujiambatanisha na ushindi wa Urais wa huko kenya as if watanzania wanajali hayo.
 
Lowasa haeleweki...juzi juzi hapa Tanzania daima lilimnukuu kuwa yeye niTeam Odinga.
Leo kawa Rafiki wa Uhuru...yote hii anataka kujiambatanisha na ushindi wa Urais wa huko kenya as if watanzania wanajali hayo.
Odinga ni rafiki yake kibiashara na Kenyata ni rafiki wa kisiasa
 
Wazungu walinena " BIRDS OF THE SAME FEATHER FLOCK TOGETHER " Jubilee ni chama cha wakikuyu NA wakalenjine, siasa zao ni za kikabila NA hata vyeo serekalini wamepeana kwa ukabila.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom