Kuna tetesi kuwa waziri mkuu aliyejiuzulu amemualika waziri mkuu wa sasa mzee Pinda nyumbani kwake monduli kwenye tafrija probably ya kuaga mwaka.
Swali rahisi...je Lowassa anataka kujenga picha gani kwa kumualika na kusherehekea na Pinda?
Au tuseme Pinda anataka kujenga picha gani kwa kukubali kushereheka na Ndugu Lowassa?
Au ...wadau tunajifunza nini kuona mawaziri hawa wakishereheka pamoja ?
Cc Pasco
Anamaanisha yaliomkuta hadi akajiuzulu ndio haya yanayomkabili Pinda kwamba wote ni wachapa kazi na si vinginevyo...right timing EL if it is true that you have sent an invitation
Hili nalo linastahili kujadiliwa? mwaka jana Monduli kulijaa...Hii kwa EL haikuanza jana, Mara zote hushirikiana na jamaa zake kwa kumuomba Allah kwa kuwajaalia kumaliza mwaka salama na kumuomba mwaka wenye mafanikio zaidi... Membe, Sitta wanaruhusiwa kualikana pia! Hofu ya nini?... This Time JK nae amealikwa Monduli kula Nyama!
Pinda naye anatarajia kujiuzulu kutokana na kushindwa kazi hasa kuamuru vyombo vya dola kupiga raia na matokeo yake yamejidhihirisha wazi kutokana na operation tokemeza ujangili. Wote ni mawaziri wakuu waliojiuzulu kwa kashfa
Tuseme nini sasa waakati mtakachojadili ni Namna ya kuendeleza Dhambi ya Kula rambi rambi.
Unataka tuwe sehemu ya hii Dhambi ?? , No, there is no way out...
Happy New Year 2014
Anataka kuhalalisha party yake ya kifisafi. wamealikwa wajumbe wa vikao muhimu vya CCM, na wengine wa Serikali. wametumiwa tiketi za ndege, wamebookiwa hotel arusha, wametumiwa kadi za krismas zenye kiambatanisho, nk. ameona aingie pia PM ili ionekane halali.
Mbona hata slaa kaalikwa ila kama bado anameno yote kuja kula nyama na mvinyo,ukialikwa jua anakupenda,lowasa and january ni watu wa watu...baada ya rasimu ya pili kusomwa nitawaeleza kifuatacho