Mimi nimejialika mwenyewe kwenye safar ya matumaini, na nitajilipia kila kitu katika safari hii! Unayefikir lowassa anatoa ela si uje na wewe upewe? Au hutaki ela? Acheni hisia za k........
Mkuuu Lowasa yeye anachotakiwa ni kusafishwa na yeye kutoa maelezo.
Yeye aliwajibika kutokana na walikuwa chini yake kufanya makosa. Yeye akaamua kubeba msalaba kwani bila yeye Serikali isingekalika.
Kuamua kuokoa serikali na gharama sisizo za lazima akaona yeye angatuke
Well said, hiyo inajulikana lakini wenzake wakamgehuzia kibao na kuhanza kumkandia!! We sema Mh.Lowassa ana uvumilivu husio wa kawaida - angekuwa mbinafsi akahamua kutupilia mbali MSALABA na kuhakikishia Serikali isingekalika. Nikiona madalali wamekazania kumchafua na kumzulia mambo ya kubuni tu wanafikiri Watanzania hatuna akili za kuchumbua mambo nabaki kuwasikitia madalali uchwala walio jaa hila za kila sampuli, nawapa ushauri wa bure Mh.Lowassa hivi sasa ni Steam Roller akisha gather momentum hakuna kigingi chenye ubavu to stop him.