Hao wengine wataje wewe, sisi tupo na anaetaka madaraka kwa gharama yoyote ile.Kwani ili fisadi au mwizi ashitakiwe ni mpaka awe mgombea uraisi??
Unamaanisha kwa kuwa hao wengine hawagombei ndo sababu yakutotajwa au kushambuliwa/kushtakiwa????
Mm na ndg. Rafiki, na mAjirani tumekubaliana kwa pamoja tumuangamize ccm mnamo trh 25Tuhamashishe marafiki zetu..wapige simu mikoan kwa ndg zao ili tuunganishe nguvu za kuleta mabadiliko.
Pia kila mmoja wetu popote aendapo asiache kushawishi watu hata wa3 kwa siku ili tuwe na nguvu zaidi..
Itakuwa vizuri tukishare kati yetu namna nzuri ya kutafuta wafuasi.
J2 njema....people's. .....
Ni JF pekee mtu anapojidai kumjua mtu ambaye hajawahi hata kumuona!
Sasa mbona hapo nimejibu kikawaida sana? Hasira unazijua wewe?
Naona ukiona yeyote anayemtaja Dr. Mihogo wako unapanic kwelikweli.
Pole bibie Josephine.
Ni JF pekee mtu anapojidai kumjua mtu ambaye hajawahi hata kumuona!
Sasa mbona hapo nimejibu kikawaida sana? Hasira unazijua wewe?
Naona ukiona yeyote anayemtaja Dr. Mihogo wako unapanic kwelikweli.
Pole bibie Josephine.
Ni Tanzania pekee MTU anayedai ana ushahidi wa wizi mkubwa na ufisadi anaupeleka studio badala ya mahakamani huku akimtaka mtuhumiwa ndio aende mahakamani...
Mi nilijua katoa ushahidi.... kumbe kajibu hivyo... majibu mepeeeeeesi... ajitokeze hadharani na ushahidi. ili slaa atoe zile silaha alizobakiza
Kwani hao wengine huko waliko ni wagombea Urais.?
mbona sio muelewa mkuu.. yeye hayuko kwenye nafasi ya kushtaki kesi za aina hiyo. Serikali pekee ndo yenye nafasi hiyo. Hawataki kushake state coz prezidaa nae anahusika. Sisi tutamhukumu kwa ile torati yetu.. tunamyima kura. Ushahidi huo sasa ataupeleka baada ya kesi kufunguliwa.. baada tu ya magufuli kuingia ikulu. Jk anayokinga ya kushtakiwa.. so haitamgusa. Ataenda kunyea debe huyu mzee.. ndo akome kuanzisha vita ya mawe huku anaishi kwenye nyumba ya vioonenda mahakamani,atakuja na majibu mazito.
Eti nilikuwa mojawapo ya list of shame! Hata kama ingekuwa kweli, hiyo list ilikuwa na watu wangapi, mimi ndio niko upinzani nashambuliwa hao wengine wako wapi? Tusonge mbele, mabadiliko ni lazima
Edward Lowasa.
Nyie ndo wale hata ukiulizwa jina lako huwezi kujibu mpaka uanze na historia kwanza wakati umeulizwa jina tu so sikushangai sana
mazombie wa mbowe bana! miaka nane mmekua mnamuita edo fisadi baada ya kuhongwa bil 10 kimya. si mbowe lissu wala mdee anazungumza tena kuhusu maadili washakula rushwa. mbowe anabwabwaja porojo kwenye majukwaa utadhani dj au mc.
JINA LANGU JANJAWEED... wewe je