Lowassa amgaragaza Magufuli kwenye "media coverage"

Lowassa amgaragaza Magufuli kwenye "media coverage"

magazeti yameanzishwa ili yauzwe wamiliki waingize chapaa ..ili uuze lazima umwandike LOWASA kwa sasa ..maana naona hata raia Tanzania leo wamuandika front page vizuri pamoja na kwamba wamemkosoa kidogo itakuwa wameshtuka tu..
 
Acha wanahabari nao wavune pesa zao Lowasa na media magufuri na watanzania hasa wapenda maendeleo bahati nzuri magazeti hayapigi kura.
Ni kweli 'magazeti hayapigi kura', ila zingatia nguvu ya ushawishi wa vyombo vya habari (Media) kwa wapiga kura; ni kubwa sana ndio hubadili mkondo wa upepo wa mtazamo wa watu hata kama imebaki saa moja kabla ya muda wa uchaguzi. Kwa sasa kuna mambo mengi yanaendelea/yameanza/yataendelea kuhusu uchaguzi 2015. Mengi yatasemwa, km vile propaganda, misinformation nk ili mradi tu kukamilisha lengo husika la mhusika. Usidharau media influence; ina uwezo kubadili uelekeo wa mkondo wa mtazamo wa watu muda wowote. Ndio maana hata nchi kama USA media zinatumika sana sana katika nyakati zenye kugusa uelekeo wa taifa kama nyakati za vita, njaa, uchaguzi nk. Unajua kwamba CNN iko for Democrat na Fox ni kwa Republican? Nachangia kwa mtazamo usioegemea kokote; iwe UKAWA au CCM. Naomba kuwasilisha
 
Sasa magufuli anataka akifa apate cheo kwa malaika eti! Kesho ona urais kwake ni ndoto na hamwezi Lowasa
 
Kwani ni chombo kipi cha habari kinachotaka kupata hasara? Watu wanaonunua magazeti ni wasomi wanaojua kusoma na kutathmini mambo kwa kina. Wasomi hao wanaikubali UKAWA na kumpenda LOWASSA
 
Acha wanahabari nao wavune pesa zao Lowasa na media magufuri na watanzania hasa wapenda maendeleo bahati nzuri magazeti hayapigi kura.

Mkuu wale watu waliojaa jana utalinganisha na watu wa Magufuli?
 
Gazeti la Uhuru na TBC wanampa makufuli covarage yakutosha sana tu

Tatizo niwatanzania wangapi wananunua Uhuru zaidi ya viongozi wa CCM? Mi binafsi nilikua nalisoma enzi hizo likiwepo nagazeti la MFANYAKAZI. Hata hiyo TBC toka ameondoka Tido sanasana watu tunaiangalia wkt wa the comedy tu.
 
Hayapigi kura kweli but stories repeatedly issued in newspapers has a significant influence to readers choice on who to vote and who not to vote. Majority wanawajua wagombea wa vyama vyote thru media, hawajawahi kutana a nao msikitini wala kanisani, msibani ama harusini, shambani wala sokoni.

Pata picha chama kingekuja na mgombea anaitwa bazobonankira bafakulelawamba, kila mtu angejiuliza, who the hell is the dude?

hahahahahahahhahah bazobonakira watahisi ni dawa ya kienyeji ama ugonjwa fulani umeibuka.
 
Wanafiki Santa hao pamoja nagazeti rao uhulu sijui uhuru wanani
 
Hiyo si sababu ya msingi kwakuwa hata ww kama ungekuwa ni mfanya biashara lazima ungeandika habari za Lowasa ili upate kuingiza mapato zaidi kwaiyo hapo ulichoandika naona hamna point ya maana

Mkuu labda nikukumbushe kitu, ni hivi: Kwa nchi zilizoendelea magazeti yao usema hadhalani ni chama kipi wanakiunga mkono, hivyo wasomaji wanakuwa hawababahiki wanajua kila gazeti lina mlengo hupi. Sasa tatizo hapa kwetu kama hujui nani mmliki wa gazeti fulani ni rahisi sana kufuata mkumbo bila ya kutafakari mambo kiundani na hiki ndicho kinacho endelea hivi sasa katika Taifa letu specifically mijini, kuna watu weledi humu wamesema uzuri wa magazeti hayapigi kura yataishia kupamba pamba watu tu lakini mwisho wa siku binadamu ndio wanapiga kura - ni kweli.
 
Back
Top Bottom