Lowassa amgaragaza Magufuli kwenye "media coverage"

Lowassa amgaragaza Magufuli kwenye "media coverage"

kwenye thread hii UMEMTAJA MAGUFILI MARA12 na LOWASA MARA8 , jitafakari kiongozi
 
Dr maghufuli yeye atamgaragaza lowasa kwenye matokeo ya urais.....
 
Magazet hayapigi kura!!!!" Tehtehteh

....aisee hata darasa la tatu hawezi kuwa na mtazamo finyu kama huu. Anaelewa maana ya media. kama huamini subiri October lazima tutaheshimiana tu...
 
Magufuli kaingia CHOO CHA KIKE...!!!

JK kaharibu kila kitu....sasa eti ndio JK anaanza kumuuza Magufuli....in short Magufuli is not marketable...!!! And the worse side is, NO ONE IN CCM has public reputation to sell Magufuli to public....!!!

CCM imedoda, na JK kaiharibu yote...!!!

Hata JK kasha soma namba...!!!

CCM kwishney....!!! finished kabisaaaa...!!!
 
leo katokea kwenye magazeti mawili. 1. Uhuru- ccm itashinda ushindi wa tsunami 2. mtanzania daima- katokea kama katuni
 
Bahati mbaya sana Magufuli ameshindwa kujipambanua yeyey kama alivyo anajificha kwenye koti la Kikwete.Mpaka leo hatujui ata kauli mbiu yake
 
lowasa kavinunua nani hajui hilo labda wewe zezeta
Sema ni mpango wa Mungu wewe mmemkata bilala kumshirikisha Mungu! Mungu akimteua mtu kaisha mteua, hivyo hakuna namna mpeni nchi mteule wa Mungu. Mungu akisema ndio hakuna wakusema hapana.
Angalizo msijaribu kuiba kula maana mtamfanya Mungu achukie kabisa na kufuta kabisa kwenye uso wa dunia hicho chama chenu
 
reginald mengi naona anampa promo za kutosha rafikiye lowassa
 
Acha wanahabari nao wavune pesa zao Lowasa na media magufuri na watanzania hasa wapenda maendeleo bahati nzuri magazeti hayapigi kura.

kwa ccm maendeleo ni hadithi za esopo,
 
Nchi hii inahitaji kujua Rais ajaye ataifanyia nini na sio mambo ya coverage!. Subir kampeni zianze ndio utajua nani zaidi ya mwenzake!..
 
jina la magufuli haliuzi gazeti
 
Waandishi wapo kwenye kipindi cha mavuno. Wanajua baada ya october 25 wanarudia maisha yao ya kawaida
 
Lowassa ni sehem ya kuchuma. wacha wale pesa yake lakini kura kwa Dr John P. Magufuli. Ikulu ni mahala patakatifu unatumia mihela yote hio kwenda Ikulu je utazirudishaje?
 
Acha media zipige pesa kama bodaboda walivopiga mafuta ya kununuliwa jana, full tank, buguruni-nec-ufipa, coverage ya Magufuli iko wazi kwa watz.. mtu ukizoea kula nyama ya mtu katu utaacha
 
Think tank ya ccm ipo empty kabisa! Ndio maana Hakuna hats kauli mbiu! Anachojua kusema Ni "sintawaangusha!". Sijui ameikariri Na hiyo!!? Maana Ni bigwa kukariri!!
 
Back
Top Bottom