CONSTRUCTIVE THOUGHT
JF-Expert Member
- Jul 10, 2015
- 1,158
- 417
- Thread starter
- #81
Mahari ndio nini?Mlzta uzi yaelekea amelala usiku akimuwaza lowassa,Kama umeona kuwa hupati usingizi juu yake si umwombe alete mahari kwenu
Mahari ndio nini?Mlzta uzi yaelekea amelala usiku akimuwaza lowassa,Kama umeona kuwa hupati usingizi juu yake si umwombe alete mahari kwenu
Kusubili nini?umbea ni kipaji mnapenda jina la lowasa mtasubir sana
Kumbe anaruhusiwa kuingia ukmbini tarehe 23.BADO HAJARUDISHA
OkLowasa alienda UKAWA kwa lengo la kugombea Urais na si kuwa mwanachama wa UKAWA ndo maana hajarudisha kadi ya CCM
Mkuu lgha uliotumia haieleweki!Nathing your talk about, umeamka n jna lowasa bax anasfa zote zakukuongoza
Kama ungekuwa unaelewe, usingeuliza kabla ya kujibu swali langu.Naona hujui nini maana ya hii alama'?'
Mali ya chama, ndio maana mtu huulipia.Kwani kadi ni mali ya chama au mali ya mtu binafsi?
Naona muda huu ni muafaka kwako kwenda kunawa miguu na kulalaKama ungekuwa unaelewe, usingeuliza kabla ya kujibu swali langu.
Alipewa bure au ali ilipia? Wewe ukinunua suruali dukani ikikubana baada ya kuivaa unairudisha ukipo inunua au unaihifadhi sandukuni?Habari!
Jamani nauliza LOWASSA alirudisha kadi ya CCM wakati anajiunga CHADEMA? Nauliza kwasababu kiutaratibu huwa mtu hurudisha kadi ya chama anachokihama kisha kukabidhiwa ya chama kipya. Lakini hili sikuliona wakati LOWASSA anajiunga CHADEMA au ndio kusema kwasababu ameinunua CHADEMA hakuna sababu ya kurudisha kadi ya CCM!
Narudisha wanipe kubwa.Alipewa bure au ali ilipia? Wewe ukinunua suruali dukani ikikubana baada ya kuivaa unairudisha ukipo inunua au unaihifadhi sandukuni?
Ahsante kwa kunikumbusha.Naona muda huu ni muafaka kwako kwenda kunawa miguu na kulala