CONSTRUCTIVE THOUGHT
JF-Expert Member
- Jul 10, 2015
- 1,158
- 417
Habari!
Jamani nauliza LOWASSA alirudisha kadi ya CCM wakati anajiunga CHADEMA? Nauliza kwasababu kiutaratibu huwa mtu hurudisha kadi ya chama anachokihama kisha kukabidhiwa ya chama kipya. Lakini hili sikuliona wakati LOWASSA anajiunga CHADEMA au ndio kusema kwasababu ameinunua CHADEMA hakuna sababu ya kurudisha kadi ya CCM!