Lowassa alirudisha kadi ya CCM?

Lowassa alirudisha kadi ya CCM?

CONSTRUCTIVE THOUGHT

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2015
Posts
1,158
Reaction score
417
Habari!

Jamani nauliza LOWASSA alirudisha kadi ya CCM wakati anajiunga CHADEMA? Nauliza kwasababu kiutaratibu huwa mtu hurudisha kadi ya chama anachokihama kisha kukabidhiwa ya chama kipya. Lakini hili sikuliona wakati LOWASSA anajiunga CHADEMA au ndio kusema kwasababu ameinunua CHADEMA hakuna sababu ya kurudisha kadi ya CCM!
 
yaani wewe jamaa ni zuzu tena zuzu kweli kadi ya mwanachama ni mali ya mwanachama na ni vema ukatambua kuwa katika katiba ya ccm moja ya kipengere cha ukomo wa mwanachama ni pale anapohamia au kuwa mwananchama wa chama kingine cha siasa kwa hiyo lowasa kadi yake ameiweka kama kumbukumbu kumbuka huyu ni mwanachama wa ccm tangu ccm ilipoanzishwa na isitoshe kadi yake ni miongoni mwa 10 bora hivyo ni kumbukumbu yake tosha ingawa haina kazi tena ndani ya maccm
by 10 bora you mean kuwa namba 15 ni 10 bora?
Au mi ndo sielewi?
Na je, akiamua kurudi ccm akasema anaendelea kumaintain kadi yake ile ile sheria inasemaje katika katiba ya ccm ilhali amekuja cdm na hajaonesha nia ya dhati ya kuiharibu wakati anapaswa kufanya hivyo?
Naomba msaada mkuu
 
Arudishe ya nini wakati sisiemu inaenda kuwa chama dhaifu cha upinzani hata kushinda ACT?
 
Tafadhali muelewe kuna kadi ambazo tulikuwa tunasomea miezi 3 (mitatu) ndiyo unapewa kadi ya CCM miaka ya kabla ya 1990 sasa hiyo kadi huwezi rudisha siyo kama hizi zinazogawiwa kama njugu!
 
haina haja.. cha muhimu yupo CDM saiv.. ata DR. SLAA hakurudisha kadi yake na ccm na mpaka leo kaiweka kama ukumbusho wa alipokuwa dhambini....
 
by 10 bora you mean kuwa namba 15 ni 10 bora?
Au mi ndo sielewi?
Na je, akiamua kurudi ccm akasema anaendelea kumaintain kadi yake ile ile sheria inasemaje katika katiba ya ccm ilhali amekuja cdm na hajaonesha nia ya dhati ya kuiharibu wakati anapaswa kufanya hivyo?
Naomba msaada mkuu

13. (1) Uanachama wa mwanachama utakwisha kwa:-
(a) Kujiuzulu mwenyewe;
(b) Kuachishwa kwa mujibu wa Katiba.
(c) Kufukuzwa kwa mujibu wa Katiba.
(d) Kutotimiza masharti ya uanachama.
(e) Kujiunga na Chama kingine chochote cha
siasa.
(2) Mwanachama ambaye uanachama wake
unakwisha kwa sababu yoyote ile
hatarudishiwa kiingilio alichokitoa, ada
aliyotoa wala michango yoyote aliyoitoa.
(3) Mwanachama aliyeachishwa au kufukuzwa
Uanachama akitaka kuingia tena katika
CCM, itabidi aombe upya, na atapeleka
maombi yake hayo ama katika Halmashauri
Kuu ya Wilaya ama kikao kilichomwachisha
au kumfukuza Uanachama.
(4) Mwanachama aliyejiuzulu akitaka kuingia
tena katika CCM ataomba upya kwa kufuata
utaratibu wa kuomba Uanachama kwa
mujibu wa Katiba ya CCM.
14. Mwanachama yeyote atakuwa na haki
zifuatazo:-
(1) Haki ya kushiriki katika shughuli zote za
CCM kwa kufuata utaratibu uliowekwa.
(2) Haki ya kuhudhuria na kutoa maoni yake
katika mikutano ya CCM pale ambapo
anahusika kwa mujibu wa Katiba.
(3) Haki ya kuomba kuchaguliwa kuwa Kiongozi
wa CCM na ya kuchagua viongozi wake wa
Katiba ya Chama Cha Mapinduzi 11
Kuondoka katika
Chama
Haki
 
Habari!

Jamani nauliza LOWASSA alirudisha kadi ya CCM wakati anajiunga CHADEMA? Nauliza kwasababu kiutaratibu huwa mtu hurudisha kadi ya chama anachokihama kisha kukabidhiwa ya chama kipya. Lakini hili sikuliona wakati LOWASSA anajiunga CHADEMA au ndio kusema kwasababu ameinunua CHADEMA hakuna sababu ya kurudisha kadi ya CCM!!!!!!!!!!

13. (1) Uanachama wa mwanachama utakwisha kwa:-
(a) Kujiuzulu mwenyewe;
(b) Kuachishwa kwa mujibu wa Katiba.
(c) Kufukuzwa kwa mujibu wa Katiba.
(d) Kutotimiza masharti ya uanachama.
(e) Kujiunga na Chama kingine chochote cha
siasa.
(2) Mwanachama ambaye uanachama wake
unakwisha kwa sababu yoyote ile
hatarudishiwa kiingilio alichokitoa, ada
aliyotoa wala michango yoyote aliyoitoa.
(3) Mwanachama aliyeachishwa au kufukuzwa
Uanachama akitaka kuingia tena katika
CCM, itabidi aombe upya, na atapeleka
maombi yake hayo ama katika Halmashauri
Kuu ya Wilaya ama kikao kilichomwachisha
au kumfukuza Uanachama.
(4) Mwanachama aliyejiuzulu akitaka kuingia
tena katika CCM ataomba upya kwa kufuata
utaratibu wa kuomba Uanachama kwa
mujibu wa Katiba ya CCM.
14. Mwanachama yeyote atakuwa na haki
zifuatazo:-
(1) Haki ya kushiriki katika shughuli zote za
CCM kwa kufuata utaratibu uliowekwa.
(2) Haki ya kuhudhuria na kutoa maoni yake
katika mikutano ya CCM pale ambapo
anahusika kwa mujibu wa Katiba.
(3) Haki ya kuomba kuchaguliwa kuwa Kiongozi
wa CCM na ya kuchagua viongozi wake wa
Katiba ya Chama Cha Mapinduzi 11
Kuondoka katika
Chama
Haki
 
Ni mmoja kati ya watu waliochana kadi zao baada ya mkutano wa nec pale dodoma. Tulichomfanyoa sisi wana ccm ulitegemea akae nayo. Tena mimi ningeifanya toilet paper kamaningekuwa lowassa
 
Back
Top Bottom