Saa zingine mtub kama huna cha kuandika ni bora ukacheza game kama una uwezo kwa hivyo vyi MB vyako,hivi Lowassa alikuwa na ratiba ya kwenda Karatu?mbona mnawashwa saa zingine sasa Karatu kuna nini wakati ni ngome ya Chadema na kwa taarifa yako wazee wa Karatu walimdharau sana Dr Slaa baada ya kuasi na walimwita shujaa mnafiki.Najua ulikuwa ukimaanisha baada ya Dr Slaa kukimbia Chadema kwa kununuliwa na CCm.Baba subiria campein bado atashuka Karatu Arusha nzima hakuna CCM kaa ukijua hilo.