Itashangaza sana CCM kumpitisha mtu waliyemwajibisha wenyewe kugombea urais wa nchi hii! Halafu hata yeye mwenyewe hajitathmini? Walicheza mchezo wa kuigiza akashindwa akawajibika akirudi tena kwenye uarais si ndio itakuwa yaleyale ya kuchezea uchumi wetu kwa kuzunguka mbuyu?
Lowasa hawezi kuwa rais never ever. Hatufai wanyonge na watanzania. Hii nhi ni changa sn na ipo katika ujamaa na kujitegemea. Yeye ni bepari. CCM kama kweli wanataka washinde 2015 wampitishe Prof. anna kajumulo tibaijuka kugombea.
utanilaumu bure mjomba ! kamati ya mangula ndiyo iliyowakataza KUJIPITISHA PITISHA ,labda kama KISWAHILI KIMEBADILIKA .Acheni mambo ya ajabu Lowasa bado ni Mtanzania na muumini anayo haki ya kwenda popote na kuingia makanisa yoyote kama mtanzania kilichokatazwa ni kutumia makanisa na misikiti na jamii zingine kutafuta kuungwa mkono kwenye mbio ya uraisi jeulimuona akipanda jukwaani na kusema chochote?. kwa mwendo mutamkataza mpaka kuingia bungeni kwenda sokoni na hata bar mtakataza baba wa watu.
Lowassa ni Mkristo, kama walivyo wengine waliokuwepo!!! Ubaya wa yeye kuwepo uko wapi??
ameonekana kwenye vyombo mbalimbali akiwa miongoni mwa wageni kwenye JUBILEE YA MIAKA 25 YA UASKOFU WA NGALALEKUMTWA , LAKINI IKUMBUKWE KWAMBA CHAMA CHAO CHINI YA KAMATI YA MANGULA KILIWAONYA WALIOITWA WASAKA URAIS kwa NJIA ZA PANYA KUTUMIA SHUGHULI KAMA HIZI ILI KUTAFUTA KUUNGWA MKONO , SASA CHA KUSHANGAZA AMEONEKANA KWENYE SHUGHULI AMBAYO SIDHANI KAMA WABUNGE WA KIGENI WALIALIKWA ! JE ADHABU YAO IMEISHA ?
Hivi mkristu anakatazwa kwenda kanisani?kwani kuna mwingine aliyekuwepo pale miongoni mwa walioitwa na kamati mangula ?
hawa ni wabunge wa wapi?
Hivi mkristu anakatazwa kwenda kanisani?
Lowassa anaona hakuna maisha chini ya jua kwake bila kuwa rais. Hivyo inyeshe mvua au liwake jua yuko vitani kuusaka urais. Na akiukosa mwakani nadhani atakuwa tayari kwa kifo. Angalizo: Spidi za Lowassa zina kinga nyuma yake. Kumbuka alisema hawakukutana barabarani! Msiojua ndio mnamshangaa Lowassa lakini ukweli wapo katika mkakati wa pamoja ingawa yule yuko background!Huwa najiuliza sana, hivi Lowassa anautafuta urais wa nini wakati afya yake imedhoofu kiasi hicho? Na kama urais ndio unatafutwa hivyo, basi tujiandae kwa mateso.
ameonekana kwenye vyombo mbalimbali akiwa miongoni mwa wageni kwenye JUBILEE YA MIAKA 25 YA UASKOFU WA NGALALEKUMTWA , LAKINI IKUMBUKWE KWAMBA CHAMA CHAO CHINI YA KAMATI YA MANGULA KILIWAONYA WALIOITWA WASAKA URAIS kwa NJIA ZA PANYA KUTUMIA SHUGHULI KAMA HIZI ILI KUTAFUTA KUUNGWA MKONO , SASA CHA KUSHANGAZA AMEONEKANA KWENYE SHUGHULI AMBAYO SIDHANI KAMA WABUNGE WA KIGENI WALIALIKWA ! JE ADHABU YAO IMEISHA ?
nisingeshangaa kama mbunge wa eneo husika angehudhuria , lakini kutoka MONDULI hadi IRINGA , tena bila MADARAKA YOYOTE YA KITAIFA ! JE HUKO SIYO KUJIPITISHA PITISHA ?
Mimi ni team Lowasa naomba kudeclare interest, hivi Lowasa amekuwa Suarez nae kafungiwa shughuli za kijamii na kuabudu kama Suarez alivofungiwa shughuli za michezo?Basi kwa waliomfungia mwambie ili ajue ni lini atamaliza kifungo chake.Lowasa angeenda hata kwenye msiba wa msanii basi ingekuwa news.Please kama amefungiwa basi ajulishwe
Hujawahi kusAfiri ndani ya nchi na kuattend ibada sehemu nje ya mkoa wako..?hata KAMA hajakatazwa , lakini ndiyo kutoka MONDULI HADI IRINGA ? DUH ! TENA KWA RAIA WA KAWAIDA TU !