MKONGA
JF-Expert Member
- Feb 19, 2015
- 667
- 458
Silikiliza hapa:Hulk Share - Music Distribution Platform
Hukusikia vizuri. Ni lowasa15@gmail.com, wameshtukia game. Ni rahisi kupuuza baadhi ya maswali yaliyotumwa kwa email kuliko yale yanayoulizwa moja kwa moja kwa njia ya redio.Aliomba maswali yatumwe kwa email....lowasa2015@gmail.com. ..kama nilisikia vizuri
Nasimamia nilichoandika. Ni kosa kwa serukamba kujitambulisha kama mbunge wa Kigoma mjini kufanya kazi za press secretary wa lowasa. Hakuchaguliwa ubunge kufanya kazi hizo, angejitambulisha kama mmoja wa team lowasa wala tusingetia neno.
Nashangaa sana kwa nini ulichelewa kujua kama mimi boya, at least kwa ubongo wako kizibo.
Mkuu yeyote yule asiyekubaliana na Lowassa niteam Membe?
Hukusikia vizuri. Ni lowasa15@gmail.com, wameshtukia game. Ni rahisi kupuuza baadhi ya maswali yaliyotumwa kwa email kuliko yale yanayoulizwa moja kwa moja kwa njia ya redio.
Swali langu linabaki palepale Lowasa amechaguliwa na Wana Moduli ili kumuwakilisha makamu. Wa Rais kwenye harambee za misikiti? Ndorobo wewe.
Nilijua tu, povu la juzii ni kutaka EL asafishiwe waterguard, hahahahahaha!!!!!! kazi ipo.
hapana, ila nime wapoint Team membe kama na wewe upo polee!!!!
hivi huyu ndo yule mchezaji wa simba fc ?
labda yameyeyuka kama barafu!hivi yale mahojiano yameishia wapi?au kakacha?mwenye taarifa tujuze
hivi yale mahojiano yameishia wapi?au kakacha?mwenye taarifa tujuze